Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Heri ya siku ya kuzaliwa Askofu Desmond Mpilo Tutu!

>> Friday, October 07, 2011

Desmond Mpilo Tutu (Alizaliwa  tarehe  7 October 1931)
HAPPY BIRTHDAY MKUU!
Kivyako umejitahidi aisee!




Hebu tumsikie tena akiongelea kitu kama kawaida yake,....


Au tu hebu Rais MUGABE amtusi kidogo ,....


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 1:05 am  

Siasa ni tamu sana ukiipatia. mzee Tutu ana haki ya kusema/kulalamika.viongozi wetu wa afrika ni wababaishaji sana. hasa wanapokuwa wanashindwa kupanua midomo yao katika kukemea maovu au hata misimamo yao kwa manufaa ya watuwao,badala yake hutetea masilahi ya hao wanao wapa kitu kidogo.sasa wachina nao wanaanza kushika hatamu,tusubiri tutaona nakusikia mengi tu. hongera sana mzee Tutu kwa siku yako ya kuzaliwa. Kaka S.

Simon Kitururu 2:08 am  

@Kaka S:
Yani umemaliza Mkuu!


Ila sasa hivi ameongeza kweli maadui!


Ukiachia akina MUGABE, Israel inamchukia kwa kuwa huwa anamchezo wa kuwa upande wa Palestina na kufananisha yafanywayo na serekali ya Israel na yale ya serikali ya serikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini.


Bila kusahau CHINA ambayo huwa hakawii kuilaumu kwa ifanyayo Tibet.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP