Kheri ya SIKU KUU ya WAKULIMA aka NANE NANE!
>> Wednesday, August 08, 2012
Hongera zenu WAKULIMA,...
... kwa kutufuturisha MAPOCHOPOCHO!
Swali:
- Hivi Hii sikukuu inamanufaa kwa MKULIMA?
Na sitashangaa kusikia ,....
... anufaikaye na SIKU KUU ya MKULIMA sio MKULIMA!:-(
Nuta Jazz Band - Pongezi Wakulima
Read more...


