Showing posts with label :-(. Show all posts
Showing posts with label :-(. Show all posts
Si WABONGO hamuheshimu WALIMU na mnasujudu SERIKALI dhaifu na MAFISADI kisa wana FWEDHA?
>> Friday, August 03, 2012
Leo katika PITAPITA : DUH kumbe ZANZIBARI tokea enzi NA ENZI hakukuwa BONGO aisee!!
>> Saturday, June 30, 2012
Nilikuwa nimezoea kuita tu Tanzania -BONGO,...
.... bila kuwa na SIASA au hata KUFAGILIA jina BONGO kama jina la TANZANIA hasa kwa kulioanisha na SIASA , DINI au hata kwanini wajanja walianza kuiita TANZANIA Bongo NYOSO,...
......wakati jina lake ni TANZANIA .
Swali:
- Si ushawahi kujikuta unatumia NIKI NEMU hata wakati unajua jina halisia la MHESHIMIWA?
... nakumbuka kuna waliooanisha neno BONGO na Dar-es -Salaam tu,..
... ila sikutegemea kuamsha hisia za Mke wa Mzanzibari LEO kihivyo kitu kilicho zua hotuba kikusahihisha kirefu sana kuwa WABONGO ni WABARA hao,...
... katika WAZANZIBARI hakuna MBONGO.
Swali:
- Hivi hii kitu MUUNGANO wa TANGANYIKA na ZANZIBAR..ni kwanini usiri MWINGI.?
- Na kwa nini inafikia mpaka tunachukiana NDUGU kwa NDUGU ... mpaka siri nyingine za rafiki za CHUKI unakutananazo kwa MKE wa RAFIKI ambaye unafikiri nyie ni TAIFA moja huku MKUU wa TAIFA hasemi kitu?
Kumbuka tu uchukuliavyo KITU,....
... labda sio kila mtu NDIVYO akichukuliavyo HIVYO hicho KIDUDE,...
....na siri nyingine atoaye ni MWENZA wake kimaisha kwa kuwa yeye kistaarabu ,..
..hayo ya CHUKI huyaongelea USIPOKUWEPO ambako kama sio ´MSIKITINi wala KANISANI ingawa na LABDa wala sio hata,....
... CHUMBANI.
Ni hilo TU!:-(
Hebu Mbongo ,...
.....samahani Mzanzibari ,...
........yule MZEE Yussuf asawazishe kwa-ALAMBA
Mzee Yussuf alainishe zaidi kwa kuja ki-Daktari wa MAPENZI kwa kirefu
AT na Mwa4 wakatizie denge na-Vifuu Tundu
AT aongezee - BAO LA KETE
Au tu turudi BONGO ili Saida Karoli asigine-Wakati Ndio Huu
Read more...
Hebu twende INDIA!
>> Friday, June 15, 2012
Swali:
- Kwani unafikiri TANZANIA hali ikoje kuhusu uthamani wa mtoto wa kike ukilinganisha na WAKIUME?
Lebo:
:-(
R.I.P the LEGENDARY Chuck BROWN!
>> Thursday, May 17, 2012
Tukiachia kuwa ndio ulianzisha ya ``GO go´´...
.....Mkuu umenisaidia sana TU kupitisha siku na MAMBO kistaili zako yani ,....
.....Mkuu umenisaidia sana TU kupitisha siku na MAMBO kistaili zako yani ,....
R.I.P CHUCK BROWN!
CHUCK BROWN tafadhali come again angalau ki....
.
Read more...
ELIMU YETU - TANZANIA
>> Wednesday, May 16, 2012
WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO KAMA
WANAVYOONEKANA DARASANI LEO HII
WANAVYOONEKANA DARASANI LEO HII
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA KATIKA SHULE YA
MSINGI MAKUMBUSHO YA JIJINI DAR ES SALAAM WAKIWA DARASANI, SIJUI WAPO
WANGAPI, WATOTO HAWA HULAZIMIKA KILA MWEZI KULIPA Tsh1000 YA MTIHANI
WA MWEZI,Tsh 1500 YA MTIHANI WA TERM,Tsh500 YA KILA SIKU YA UJI HAPO
BADO TIUSHENI,USAFI, MLINZI,LEBO,VIDUMU,FAGIO, NA MADAFTARI PIA
HULAZIMISHWA KUNUNUA HAPOHAPO.
Nimetumiwa hii Banangenge na:
BIG RIGHT
Read more...
Lebo:
:-(,
Angalizo,
Krosi KIAINA
Katika kumbukumbu:EDWARD Moringe SOKOINE!
>> Thursday, April 12, 2012
![]() |
| Edward Moringe Sokoine (1 August 1938 – 12 April 1984) |
R.I.P Nguli!
Mie nakukumbuka!
Habari zake zaidi kiduchu KONGOLI:...
....HAPA
Read more...
R.I.P Steven Kanumba
>> Saturday, April 07, 2012
![]() |
| (8 Januari 1984- 6 Aprili 2012) |
Poleni NDUGU, Jamaa na MARAFIKI!
Pumzika Kanumba The Great! Read more...
R.I.P President BINGU wa MUTHARIKA!
>> Friday, April 06, 2012
Majirani zetu MALAWI wamefiwa na Rais!
Tukiachana na ya SIASA,...
Pumzika BINGU wa MUTHARIKA!
Dadavua zaidi paja hili kwa kubofya ,...
...HUKU
Kujua baadhi ya huyu rijali yalioegemea eneo fulani tomasa au donoa ,...
...HUKU
UPDATES:
Habari hii sasa inamadoa kwa kuwa kuna wadaio daktari hajatamka bado kuwa hawezi kuamshwa... ...ndio hata HUKU inabakia ni uvumi
PS:
DUH!
Kama hujafa Mkuu -nia ilikuwa sio KUKUCHULIA!:-(
Kama UMEKUFA tutakutana baadaye umetangulia tu!
UPDATE
:
Yeah- MTUNDU kaanza kikweli kwa Sir GOD!
Read more...
Hebu twende UGANDA katika ya JOSEPH KONY 2012
>> Thursday, March 08, 2012
Swali:
- Si unakumbuka VITA ya JOSEPH KONY bado ipo UGANDA aipiganiayo kwa jina la YESU?
Ndio,...
....LORD 's RESISTANCE ARMY(LRA), ...
.... ndio JINA la KUNDI LAKE ambalo anadai vita yake ina MUNGU wa KIKRISTO ndani yake .Hebu tuendelee kwa kudeku,....
Au tupatiwe....
Read more...
Lebo:
:-(
NORTH MARA GOLD MINE!
>> Wednesday, February 29, 2012
Nimesikitishwa na hii kitu!:-(
Samahani CHACHA kwa kuiweka hapa bila kukuomba!
Madhumuni yangu ni kutawanya tu hii HABARI ili izidi kujulikana!
Source: CHACHA
Greetings from North Mara in Tarime.
I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year’s and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine.
New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village.
The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review.
As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those who are critically ill.
An appeal is made to all of you to act in your different capacities.
Kind regards,
Chacha
Read more...
Lebo:
:-(
Poleni wana SONGEA kwa yaliyotokea kwenye MAANDAMANO!
>> Wednesday, February 22, 2012
Nasikia sasa hivi waandamanaji TISA wametutoka!
Mungu awalaze mahali pema PEPONI!
![]() |
| Picha ya mmoja wapo.Source: Songea Yetu Blog |
SONGEA YETU BLOG
http://www.songeayetu.blogspot.com/ Read more...
R.I.P Whitney Elizabeth Houston !
>> Sunday, February 12, 2012
![]() |
| (August 9, 1963 – February 11, 2012) |
Pumzika MDADA!
Bado nakusikiliza katika nyimbo kama...I Wanna Dance With Somebody
It's Not Right But It's Okay
My Love Is Your Love
I Will Always Love You
Read more...
Etta James!
>> Tuesday, January 24, 2012
Nimechelewa kidogo kukuaga rasmi!
R.I.P Miss James! !
![]() |
| Jamesetta Hawkins a.ka Etta James (January 25 1938-January 20 2012) |
Bado nasikiliza kazi zako MISS kama hii-AT LAST
Subscribe to:
Posts (Atom)












