Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!
Showing posts with label Mmmmh. Show all posts
Showing posts with label Mmmmh. Show all posts

Nipo!

>> Saturday, September 22, 2012




Jumamosi njema Wajanja!



Hebu Peter Tosh akatizie denge...


 


Au azime tu kwa -Wanted Dread  and Alive 

Read more...

Wakati AIBU YANGU labda inachagua WALE wa Wakuwaonea AIBU!

>> Thursday, August 09, 2012

Na kunawatonyao  akina AKINA wakina ,...
... SIMON KITURURU eti waache kutia AIBU kisa wamesikia AIBU ,...
... lakini katika ki-AIBU...


SWALI:

  • SI inawezekana hata bila kuangalia KISAIKOLOJIA labda bado  kuona aibu ni moja ya UDHAIFU fulani ambao huletwa na ambacho MTU hana nguvu ya kukivalisha chupi ili kisitie aibu KIVYAKE?



  • Si uonealo aibu kama ungekuwa unanguvu nalo ungezuia lisitokee na kwa kuwa unasikia aibu basi lina kera kwa kuwa MOJA YA KERO kiaina ni kiaina LINAKUFUNULIA KIMPANUO kukujulisha kuwa weye kuna ambayo kikuyazuia ni  DHAIFU?



Na kitiacho AIBU,...
.... labda ni KILE watu wajifunzacho TU lakini!:-(

Swali:

  • AU?




Na na kama UNASIKIA AIBU,...
.... labda UMEJIFUNZA KITU kuhisi AIBU ambacho labda MWALIMU MKUU ni,...
 .....JAMII uifichayo SIRI,...
...Limpenzi ambalo unataka ulipe ya SIRI,...
..... MINDUGU yako ambayo unataka IKUHESHIMU,...
......  hata kama tutairuka MIRAFIKI YAKO na MTUZ zote zikuzungukazo.

Nimeacha ila...SWALI:

  • SI unakumbuka yamzungukayo hata kwa kujifanya ZUBEDA labda siyo yamzungukayo SIMON KITURURU au weye kitu kiwezacho kutenganisha ni nini kwa HALIMA  ni aibbu kama tu kwa Mr Johnson na Hassani ?
  • Na LAKINI si hata MPENZI huweza kujifunza KUTOSIKIA aibu hata kuachia ushuzi mbele ya MPENZI wake kisa KAJIFUNZA tu KITUZ?


Na BINADAMU kama anasikia AIBU,....
.....labda AMEJIFUNZA kusikia AIBU kwenye KITU ambacho kama ni ambacho kinafanyika na BINADAMU na kinawezekana kwa MTU,....
.....labda hicho wala sio cha kuonea AIBU kwa BINADAMU,...
... kwa kuwa katika hicho BINADAMU kaweza na LABDA  katika hilo BINADAMU awezalo,...
....LABDA hilo  sio tena ni swala la KUBABAISHA Kibinadamu,...
.... na KULIONEA aibu ni kudhalilisha UBINADAMU!:-(

Swali:

  • AU?
  • Kwani ni UMUNGU tu ndio unaostahili SIFA na UBINADAMu  angalau kidogo hauwezihata kukubalika katika UDHAIFU wake?
Ndio,...
.... na AIBU hata kama sio kwako!:-(


Na HILI ni wazo tu hili aisee MHESHIMIWA!:-(



Hebu REMMY ONGALA aingilie kwa kurudia--Tembea Ujionee


   


 Scarface akatizie denge kwa-Recognize

   


 Halafu Notorious B.I.G azime tena  kwa- Hypnotize

 

Read more...

HILLARY CLINTON katika katika MPAKA chini KATIKA!

>> Wednesday, August 08, 2012

Siasa na DIPLOMASIA  NYINGINE ni bonge la MCHEZO,...
... hukawii kuona MHESHIMIWA kajitoa akili ili apendeke AISEE!:-)


DEKU....



Read more...

Si WABONGO hamuheshimu WALIMU na mnasujudu SERIKALI dhaifu na MAFISADI kisa wana FWEDHA?

>> Friday, August 03, 2012

Walimu wanadai ,...
... KITAELEWEKA TU!



Read more...

Wakati labda hakuna ZE ``Wondeful way´´ ya KIMAISHA kuficha KUJAMBA kisa kuna YA kisiri!

Ndio,...
... labda KIJAMBO ni KIJAMBO tu hata kama ni SIRI ,....
.... NA hata kama hakuna mwingine zaidi yako KIMAISHANI MWAKO  aliye KISIKIA,...
... kijambo ambacho kwako ni SIRI!:-(


Swali:

  • AU?
  • Kwani kama kitu MAISHANI MWAKO ni SIRI si inamaana basi hicho kitu KIPO na si SIRI hata kama unafikiria ni KWAKO tu?


Ndio,...
.... kama kifichwacho KIMAISHA ni UCHI,...
..... basi huo UCHI kwenye hicho KIDUDE  upo aisee na wala sio SIRI!


Ni wazo tu hili BINGWA!

 Hebu Gregory Isaacs arudishe - Poor Millionaire



Barrington Levy aajaribu kuzima kwa- Hypocrites

 

 Au tu huyuhuyu Barrington Levy azime kwa - Cool and loving


Read more...

Kama unataka KUZIDISHA ujanja....

>> Wednesday, August 01, 2012

....LABDA  fanya ambayo wengine hawakoradhi kuyafanya,...
....na wala sio kuyafanya KIUJANJA!


Swali:

  • AU?
  • Na wakati unazidisha ujanja si unakumbuka kuwa kitu KUZIDISHA ujanja ... KUNA KUZIDISHA mpaka mambo yanabakia ni ya UJANJA ujanja TU kitu kifanyacho mtakakuchomeka mbele anaweza kuchomekwa NYUMA?


Ndio,...
.... Ukizidisha kuliko wengine,...
.... utajulia kuliko wengine hata kama ni KUKATA KIUNO tu,...
.....LAAAAKINIIIII!!!11!:-(

Ni wazo tu hili BINGWA!



Hebu Earth WIND and FIRE warudishe kabla ya mwezi ile ndude-SEPTEMBER



 OKEI sasa - Lets Groove

 


Ndio,...

Read more...

Twende tena MISRI kudeku TV zao!

>> Tuesday, July 31, 2012

Read more...

Nafikiria vazi la TAIFA la TANZANIA ....

>> Saturday, July 28, 2012

.....wakati nadeku....


Read more...

Halafu KATIKA YOTE ....kunatubanwao na UCHI aiseee!!

>> Monday, July 16, 2012

Na uchi wa KIMAISHA,...
.... unaweza kuwa ni TUMBO aisee!

Swali :
  • SI mdomo na kinyeo KIMAISHA ...labda mambo mengineyo ...KIMAISHA ...kuna vipengele visakiziwavyo tuuu huko nanihii?

Ndio,....
...kuna wabanwao hata na KAZI pia,..
... wakati kujipendekeza kwao kwenye mikazi yenyewe labda ni MSHAHARA tu,...
... ingawa MSHAHARA wenyewe wala sio UCHI kivile kwa mpenda UCHI ,...
... hata wakati kimaisha wako UCHI aisee!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMATATU njema NGULI aisee!




Ndio ,...
....I can feel it coming IN THE AIR TONIGHT


Phil Collins adai zaidi nigewe- One More Night




  GREGORY ISAACS asaidie,...
....nilalamikiye ya kuhusu weye kuwa-SAD TO KNOW

 

Halafu STEEL PULSE warudishe ghafla udini,....
..... kwa ku-rudia -Chant A Psalm




Halafu,...
...NIPO aisee!






Read more...

Halafu nikaonyeshwa CHUPI kidooooogo!

>> Sunday, July 15, 2012

Kwa kuwa KIMAISHA kitakwacho zaidi labda sio chupi kama chupi haina kilichovalishwa CHUPI,....
... kuonyeshwa CHUPI ya KIMAISHA HATA KWA SANA yaweza kuwa ni kutiana tu MAJARIBUNI kimaisha,...
.. kitu kiwezacho kugeuza MTU akawa MWIZI au tu JAMBAZI wa yaliyofichwa na CHUPI za KIMAISHA,...
.....hata kama inaweza kuwa ni kitu CHANYA kikuleta matumaini UKIONA CHUPI,...
... kwa kuwa inarahisisha kikuhakikishiwa angalau uendako ndiko kuliko na MANING'INING'I  yaliyofichwa na CHUPI!:-(

Swali:
  • Si inasemekana ukitaka kupandisha JAZBA yayahamu si lazima uonyeshwe KIDUDE chenyewe KIKIPENGELE chenyewe cha KIMAISHA?



Ndio,...
.... labda ni muhimu hata kuonyeshwa tu mahali UFALME ulipo halafu utafute mwenyewe KIBIBLIA, KORANI, kimatunguli, kikujipendekeza ,kikulazimisha ....
..... au hata  KIKAMASUTRA kikikulainisha ,....
.. jinsi ya kuufikia ufalme wa miungu ya  KIUTAMU,...
... hata kama sio tu NI  ule UFALME wa MBINGUNI za kwenye CHUPI kiutamu .:-(


Swali:
  • Au?

Halafu akanionyesha CHUPI kidoooogo,...
...na kwa kuwa CHUPI yenyewe ilikuwa CHAFU kimaisha,...
...nikajua chakufanya kikukimbilia upande MWINGINE usio na CHUPI!:-(

Ni wazo tu KIMAHUBIRI jumapili HII!
Jumapili NJEMA Nguli!

Hebu tubakie BAGAMOYO na JHIKOMAN ,...
....katika kidude-Moyo UNADUNDA



JHIKOMAN aongezee dozi kwa - AFRO Reggae



Ila Urge Overkill wazime kwa-Girl You'll Be a Woman Soon




Ndio,....
.... NIPO!




























Read more...

Tujikumbushe sekta ya UTALII wa WAMAMA kwa ajili ya NGONO

>> Friday, July 13, 2012

Kumbuka tu kuwa,...
... hii kitu imeshamiri hata TANZANIA

Kikumbukumbu deku...


Read more...

CHAKULA chalika hata ndani ya CHUMBA cha CHOO cha STENDI!

Kinyaa ni LAKSHARI kwa mwenye NJAA,...
..... na ukiumwa vizuri NJAA ,...
... popote ni mahali pakulia MAAKULI!

Swali:
  • Na si unakumbuka MAHALI popote ni KITANDA ukichoka vizuri?
  • Na si NGURUWE hustukiwa UHARAMU wake kama kuna kingine kichaguo kiwezacho KUGIDWA?

Ndio,...
... kama UNACHAGUA,...
... hujabanwa vizuri na KIBANO bado.

Ni wazo tu hili NGULI!

Hebu MSAFIRI ZAWOSE aingilie kati kwa-Mkungwe

Read more...

Cheki UKIMWI nyumbani!

>> Thursday, July 12, 2012

Read more...

CAROLINA eeeh!

>> Wednesday, July 11, 2012

Basi BWANA hebu tu AWILO LONGOMBA ndiye atekenye kidude...:-(




Au aongezee pini-COUPE BIBAMBA


Yes I am still OLD school....
 I still  spin LPs.. ... and YES,....
 those are in my SITTING room




.... YEAH!

Read more...

STORI fupi kabla kila kukicha TANZANIA hakujawa na MIKOA mingine MIPYA lukuki ... kama siku HIZI !

.....kabla MIKOA haijaongezeka TANZANIA BARA ......

....Waheshimiwa wakijadiliana CHOBISI!




Mheshimiwa wa kwanza:
  • Si ZANZIBAR inataka kujitenga eeh?
Mheshimiwa huyohuyo wa kwanza:
  • Basi ngojea tuongezee MIKOA Tanzania BARA ili Wabara  wajisikie Njombe haikuwa IRINGA, na ARUSHA ni kubwa vilevile ... na kwa  wengine wale tutunge KATAVI na.... ili hata ZANZIBAR ikijitenga kipande kimoja cha MKOA wa MOROGORO tukiite ZANZIBAR.

Waheshimiwa wote kwa pamoja kikaoni:

  • Bonge la AIDIA aisee.. ila turefushe kikao .. si unajua tena MARUPURUPU tena?

Halafu waheshimiwa wote kwa pamoja karibu na mwisho wa KIKAo :

  • Eee Bwana si wajanja kweli aisee!

Mwisho wa STORI ya KIZUSHi kitungo dhaifu!!

Hebu turudishe WAGHAIBU ,...
....ambao haki ya nani ELIMU ZAO ,...
... ndio tuzisifiazo wenyewewenyewe kama KIPIMO nani MSOMI zaidi....

. ... tustukie tu KIMAGHARIBI  ya PERFECT Day ki -LOU REED


Lou REED huyuhuyu aongezee tena - Walk on the Wild Side
 


Au tugewe tu ALLAH HOO kimashariki na
-Nusrat Fateh Ali Khan



NDIO ni UCHOKOZI tu HUU aisee MHESHIMIWA NGULI!

Read more...

Kama unaelewa ya KIKUBWA...

... labda UMEKUA weye!:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
... na UKUBWA sio UMRI wala UMBO tu  lakini KIJEBA !

Swali:
  • AU?

...ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu KROSFYAH waingilie kwa kukuza mtu kwa-WET ME



.. kiduchu-SAC PASSE





KROSFYAH waongezee...-Pump Me Up With The Music




Halafu tu shughuli iishe tu kwa Faluma DING DING DING

Read more...

Katika MAJARIBIO ya kufananisha utamu wa MALAYA(Samahani utamu wa CHANGU DOA) na ule UTAMU wa MKE!

Yasemekana ,...
... kuonja kwa kuibia ,...
... ni tamu zaidi kisa KISAIKOLOJIA tayari uendacho kuonja ushakinogesha TAYARI!:-(

Swali:

  • Kwani unafikiri MWIZI atanogewa KUJIIBIA?
  • Na si MME si sio MPENZI faraja KIMALAYA kama tu ilivyo kuwa MKE si MALAYA na kivyovyote labda tamu zao hazifanani?


Ndio,..
... UTAMU unamaandalizi,...
... na kama weye UNAJUA  ushaandaliwa KIPENYO au hata MWIBA,..
... basi LABDA maumivu yake KIUTAMU yashapunguzwa utamu hayo...
.. kwa kuwa TAMU nyingine ili ziwe tamu sana ,...
.....tamu nyingine zahitaji ya ''GHAFLA!´´:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Nakutakia tamu sana  KIUPENDAVYO siku ya leo AISEE!
Hebu Tshala Muana arudishe mtu - Karibu Yangu



Au tu Otis Redding ajaribu kuzima  kwa - (Sittin' On) The Dock Of The Bay



Ila tu hebu Arrow azime kwa- Tiny Winy



Mmmmh!:-(



Au tu PRECIOUS amalizie kwa kutoa siri za-Weakness for Sweetness

Read more...

MWIKO!

>> Sunday, July 08, 2012

Miiko mingine ,...
... ni ya kujitakia tu!:-(

Swali:
  • AU?

Ni hilo tu!

Hebu tujifunze kula KONOKONO




Tujifunze kuandaa NYOKA kimsosi



Au tujifunze tu kula Panya








Read more...

Kuhusu MAVI GHALI!

>> Saturday, July 07, 2012

Ndio,...
...MAVI ni MBOLEA,...
... kama unajulia tu MATUMIZI!

Swali:
  • AU?
Ni hilo tu MHESHIMIWA!
Jumamosi NJEMA MHESHIMIWA


Hebu FELA KUTI ajaribu kuelezea zaidi  katika pini-EXPENSIVE SHIT





Ajaribu kulainisha kwa -LADY


Halafu azime kwa-WAKAWAKA

Read more...

Kuhusu JENEZA la Mheshimiwa RAIS wetu !

Ngojea huyuhuyu Fela Kuti alielezeee....



Halafu apunguze makali kwa kuongelea ya-SHAKARA Oloje ooohhh


Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP