Showing posts with label Busara. Show all posts
Showing posts with label Busara. Show all posts
YA DUNIA: Human echolocation lets blind man 'see' /Kuona kwa KIPOFU kwa KUSIKIA.
>> Monday, November 14, 2011
Swali:
- Kama unaona-JE wakumbuka wasioona wanadinyaje wasiyoyaona ?
Cheki moja ya mbinu ya wasioona KUONA,...
... katika -Human echolocation lets blind man 'see'
NGUVU ya MTU MMOJA katika ya HELKOPTA:Igor Ivanovich Sikorsky
>> Thursday, October 13, 2011
Kuna wengi husahau kuwa ,...
....LABDA ni MCHANGO wao kama mtu MMOJA,..
... ndio siri ya JIBU kwa maswala yasumbuayo ULIMWENGU.
Na ukisikia stori za watu kama STEVE JOBS,Thomas Alva Edison,Henry Ford, Albert Einstein, Mwalimu Nyerere, MANDELA, na wengine wengi,....
... unaweza kustukia ni JINSI GANI mtu mmojammoja pia kimchango wake anaweza kuwa chachu yakutosha .
LEO hebu tumcheki :
- Igor Sikorsky kijeba nyuma ya HELKOPTA tuzijuazo siku hizi,...
... katika-Sikorsky: Father of the helicopter
Lebo:
Busara
Katika KUMBUKUMBU: I have a DREAM- Dr Martin Luther King Jr
>> Monday, October 10, 2011
Lebo:
Busara
Wakati TONY MELENDEZ asiye na MIKONO anapiga GITAA kwa MIGUU!
>> Friday, October 07, 2011
Swali:
- Si kuna wafikiriao unahitaji mikono kupiga GITAA?
Hebu baada ya kusikia kifupi kuhusu yeye ashushe pini:
-Let it be
Tudeku tu pia na yaliyojiri PAPA John Paul akiwepo kushuhudia katika kibao,....
- Never Be The Same
Ndio,...
.... labda kuna GITAA lako KIMAISHA ambalo limezoeleka kupigwa mimba hata KIPESA au tu KIVYETI vya ELIMU KUBWA ,...
.....lipigikalo bila PESA wala ELIMU kama utatumia kitu kingine kulipa mimba tu LIZAE NEEMA kwa kutumia visivyozoeleka!Swali:
- AU?
Ndio,...
.... labda UNAWEZA udhaniacho huwezi,...
..... ila JARIBU kwa njia nyingine kama NJIA watumiazo wengine kwako HUNA jinsi ya KUWANAZO!
Ni hilo tu MKUU!
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA!
Read more...
LEYMAH GBOWEE-Mwanamke MWAFRIKA wa SHOKA
>> Thursday, October 06, 2011
Mchungulie,....
.. na ukihitimisha sio washoka ,....
...SASA mimi .....just fikiria......NIFANYEJE?
Ndio,...
... ingawa SHOKA sio BUNDUKI,...
... LABDA kuna mengi yangenitoa BARUTI huyu MMAMA kakomalia!:-(
NI HILO TU MKUU!
Read more...
Lebo:
Busara
Kama unapenda kazi za MIRIAM MAKEBA!
>> Wednesday, September 14, 2011
.... iitwayo “Mama Africa” na nimeipenda sana,...
....... na nashauri yeyote mpenzi wa MIRIAM MAKEBA kama mimi,...
......kuicheki pia akiweza.
......kuicheki pia akiweza.
Ni ile ambayo unaweza kusoma maelezo yake zaidi HAPA
Kwa kifupi na kwa kimombo hii ni :
Award-winning director Mika Kaurismäki’s inspirational tribute to Makeba is packed with five decades of rare archival footage, interviews, and excerpts from the legendary performances that exhilarated millions and inspired musicians like Harry Belafonte, Hugh Masekela, and Paul Simon.
NI HILO TU MKUU!
Hebu Bongi MAKEBA binti ya MIRIAM aanzishe upya kwa-Ngoma Nkurila
Au tu Miriam Makeba aingilie kati nakurudia - African Sunset
Lebo:
Busara
Jumuiya ya Watanzania Uingereza yatoa salam za Rambirambi
>> Monday, September 12, 2011
Kwa niaba ya jumuiya ya watanzania waliopo nchini uingereza chini ya Mwenyekiti wa TANZ- UK taifa imesikitika sana na kuwapa pole watanzania wenzetu wa zanzibar kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa. Watanzania wote tulio hapa tunaungana nanyi kwa pamoja katika wakati huu mgumu na pia tuko tayari kushirikiana kwa hali na mali kuwafariji ndugu na jamaa kwenye msiba huu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA
Mwenyekiti TANZ- UK.
Dr John Lusingu
Read more...
Lebo:
Busara
RAMBIRAMBI!
>> Sunday, September 11, 2011
Mungu walaze mahali pema PEPONI,...
.....wote waliofariki kwenye MELI itokayo UNGUJA kwenda PEMBA iliyozama jana!
Read more...
Lebo:
Busara
Hebu tudeku yawakutao WANAWAKE KONGO katika : Field of Hope !
>> Friday, September 09, 2011
Lebo:
Busara
Je, unajua Kila unapofungua website au blog unaacha fingerprints? Ina madhara hivyo jifunnze kujihami
>> Friday, September 02, 2011
Huwezi kutumia internet kwa matumizi ya kawaida bila kutumia Internet browser. Hii ni interface inayotuwezesha kufungua blog, websites na progams nyingine za Internet. Kuna aina sita za Internet browser:
Internet Explorer – Microsoft Inc
Google Chrome – Google Inc
Mozilla Firefox – Mozilla Corporation
Safari – Apple
Opera – Opera Software
Netscape – Netscape Communication Corporation
Ili kurahisisha matumizi yake, Internet browser zote zinahifadhi kumbukumbu ya web sites zote ulizotembelea. Zinafanya hivyo kwa sababu kadhaa. Sababu ya kwanza ni kwamba kwa kuhifadhi kumbukumbu hizo huwa inamrahisishia mtumiaji anapotaka kutembelea website hizo hizo hapo baadaye. Hii inapelekea internet experience kuwa faster kwa sababu baadhi ya information imehifadhiwa kwenye komputa yako na sio kwenye server maili kadhaa kutoka ulipo.
Pamoja na kwamba web browser inaokoa muda wako, kuna mswala kadhaa yanayoweza kuleta madhara kwenye komputa yako.
Kwanza kumbuka kwa kuwa wewe umerahisishiwa unapotembelea web sites ulizozoea, hali hii inamwezesha mtu mwingine kuziona kumbukumbu hizo zinazohifadhiwa na web browser. Baadhi ya web site ulizotembelea inawezekana information zilizohifadhiwa ni muhimu au za siri (kama mambo ya kikazi). Mtu mwingine mwenye nia mbaya anaweza kujua kila website uliyotembelea na nini ulichofanya kwenye website hiyo. Kuepusha watu kuona information zako usiache fingerprint unapotumia internet. Unafanya hivyo kwa kufuta (delete) kumbukumbu zote ambazo web browser imazihifadhi.
Unaweza kufuta kumbukumbu hizo kirahisi kabisa kama ifuatavyo:
Google Chrome: Select “Tools” and choose “Clear Browsing History”
Safari: Click on the “History” tab in your menu bar. Select “Clear History” located at the bottom of the list.
Internet Explorer: Select the “Safety” drop down menu at the top right of the screen. Choose “Delete Browsing History.”
Mozilla Firefox: Click on the “Tools” menu, then select “Clear Recent History.”
Pia kuna njia nyingine unayoweza kutumia web browser bila kuacha fingerprint. Web browser zote zina feature inayokuwezesha kufanya hivyo: Kwa watumiaji wa Internet explore hii inaitwa “In Private”; kwa Mozilla Firefox na Safari hii inaitwa “Private Browsing”; na kwa Google Chrome hii inaitwa “incognito”. Njia hii ni nzuri zaidi hasa kwa wale wanaotumia komputa za public kwa mfano cafĂ©, shuleni, vyuoni, kazini, n.k.
Soma zaidi tembelea blog yako ya teknolojia hapa : http://it4dev.blogspot.com/
Kila la kheri!
Read more...
Lebo:
Busara
Mambo Sio Mabaya ndani ya Mji wa Tottenham
>> Friday, August 19, 2011
Salam,
Asanteni.
URBAN PULSE CREATIVE
Au ,..
...deku tu,...
Read more...
Lebo:
Busara
Mzee Raza sehemu ya pili |URBAN PULSE|
>> Tuesday, August 16, 2011
Salam,
Global Fusion Music & Arts inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika Chrlton House Hapa London.
Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts.
Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanaga.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Sehemu ya kwanza,....
...katika blogu hii iliyokwenda kwa kichwa cha habari :
Mtambue Mchoraji Wa Kimataifa Mzee Raza!
....kongoli,...
....HAPA
Read more...
Lebo:
Busara
Daladala MBEYA zapandisha NAULI!
>> Thursday, August 11, 2011
Nauli zapanda kutoka sh 300 mpaka sh1000 kituo hadi kituo!
![]() |
| Dala dala za Mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo sababu ni kukosekana huduma ya mafuta katika vituo vyote vya mbeya |
![]() |
Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka juzi wanasema hawana mafuta |
Picha na maelezo,...
.... kutoka MBEYA YETU blog.
Hebu tubadili ,...
... kwa kukumbushwa na TRICKY kuwa -Hell is around the corner
Read more...
Lebo:
Busara
MAONYESHO YA KILIMO ya nanenane NYANDA ZA JUU KUSINI yafana sana MBEYA.
>> Tuesday, August 09, 2011
![]() |
| Waziri wizara ya MAENDELEO ya MIFUGO -Dr Mathayo DAVID Mathayo akifungua maonyesho ya KILIMO Nyanda za JUU KUSINI mkoani MBEYA katika uwanja wa JOHN MWAKANGALE. |
![]() |
| Waziri David Mathayo akipokea maandamano.Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa MBEYA. |
![]() |
| Maandamano yakiwa yanaingia viwanja vya nanenane |
![]() |
| Waziri akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya wa Mbeya Ndugu Evance Balama alipotembelea Banda la halmashauri ya wilaya ya Mbeya. |
![]() |
| Umati mkubwa wa wananchi waliohudhuria maonyesho ya nanenane |
![]() |
| Baadhi ya watumishi wakifurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika Banda bora |
![]() |
| Baadhi ya watumishi wakifurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika Banda bora |
![]() |
| Baadhi ya watumishi wakifurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika Banda bora |
![]() |
| Baadhi ya wateja wakipata maelezo katika Banda la Vodacom |
![]() |
| Mzee Kyando wa Kikundi cha Huzuni cha BABA WA TAIFA alikuwepo. |
![]() |
| Kama kawaida WACHINA hawakukosa eneo hilo kuchemkia biashara ya maua. |
Picha zote na MAELEZO ,...
.... ni kwa HISANI ya MBEYA YETU BLOG.
Na....
To discover more CLICK THE LINK DOWN
Read more...
Lebo:
Busara
Salum Abdullah wa Cuban Marimba Band unafikiri angekuwa hai TANZANIA angekuwa anafikiria nini kutokana na WIMBO wake huu?
>> Monday, August 08, 2011
Lebo:
Busara
Subscribe to:
Posts (Atom)















