 |
Waziri wizara ya MAENDELEO ya MIFUGO -Dr Mathayo DAVID Mathayo akifungua maonyesho ya KILIMO Nyanda za JUU KUSINI mkoani MBEYA katika uwanja wa JOHN MWAKANGALE. |
 |
Waziri David Mathayo akipokea maandamano.Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa MBEYA. |
 |
Maandamano yakiwa yanaingia viwanja vya nanenane |
 |
Waziri akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya wa Mbeya Ndugu Evance Balama alipotembelea Banda la halmashauri ya wilaya ya Mbeya. |
 |
Umati mkubwa wa wananchi waliohudhuria maonyesho ya nanenane |
 |
Baadhi ya watumishi wakifurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika Banda bora |
 |
Baadhi ya watumishi wakifurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika Banda bora |
 |
Baadhi ya watumishi wakifurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika Banda bora |
 |
Baadhi ya wateja wakipata maelezo katika Banda la Vodacom |
 |
Mzee Kyando wa Kikundi cha Huzuni cha BABA WA TAIFA alikuwepo. |
 |
Kama kawaida WACHINA hawakukosa eneo hilo kuchemkia biashara ya maua. |
Picha zote na MAELEZO ,...
Na....
DISCOVER THE AMAZING AREAS FROM TANZANIA
To discover more CLICK THE LINK DOWN
AMAZING TANZANIA THE GREEN LAND
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment