Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tokea HABARI zigeuke BIASHARA labda taarifa za habari zimejambiwa!

>> Saturday, August 20, 2011

Kwa hiyo,...
..... ukifungua GAZETI au ukisikiliza taarifa ya HABARI,...
... kumbuka labda usomacho au UASIKIACHO labda ni kwa kuwa kuna NJEMBAZ zimeona hizo ni HABARI ZINAZOUZA,....
.... na wala sio HABARI MUHIMU SANA kwa wewe kuzifahamu!

Swali:
  • SI BABU wa LOLIONDO bado YUPO na stori zake sio HABARI TENA?

Ndio,...
.....tokea HABARI iwe BIASHARA,...
.... kumbuka kuna BIASHARA ya HABARI!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(





Hebu WYCLEF  na  TABOU COMBO wabadili wazo na kuanzisha upya kwa-RASSEMBLE





TABOU COMBO aendeleze kwa - A Kou Tchou Kou Tchou



Johnny Gill abadilishe mchezo kwa-My, My, My




Immature waendeleze kwa - Never lie


Au tu Jodeci wamalizie kwa - Lately



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP