Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hellooo BABU wa LOLIONDO vipi MAMBO!

>> Tuesday, August 02, 2011

Umestukia  kuna baadhi ya WADAU wanaanza kusahau kuwa juzijuzi tu ,...
.... DAWA yako ya KIKOMBE ilikuwa kwao inatibu kila kitu na  na kihabari TANZANIA,...
.... kulikuwa hakuna habari nyingine ya MUHIMU zaidi ya Dawa YAKO?



Hellooo WATANZANIA wenzangu vipi MAMBO!

Mmestukia jinsi Richmond na Dowans zilivyosahaulika haraka  kwenye umuhimu wa HABARI,....
... kutokana na KIKOMBE cha BABU na jinsi kikombe cha babu na BABU wa LOLIONDO  kiharaka vinavyosahaulika?


Swaliz nanihino:
  • Umestukia WATANZANIA ni MABINGWA wa kulalamika  na WEPESI kusahau walichokuwa wanakilalamikia  hata kwa habari za udaku  za MKE wa BOSI  anamatako matatu?
  • Na sinasikia WATANZANIA tunakamchezo  kakusikia njaa HARAKA na wakati  twapenda njia za mkato hata kwa hata  yahitajio kutoka DAR ufike mpaka KIGOMA ila kiujanjaujanja hayo labda tunataka tuyapatie hata kabla ya kufika DODOMA?


Ndio,....
..... wewe chunguza JANUARI Watanzania walikuwa wanaongelea nini ,.....
.... unaweza kustukia MENGI waliyokuwa wanayalalamikia JANUARI labda yashasahaulika mwisho wa FEBRUARI!:-(


Ni wazo tu hili  MKUU na labda sio 100% kweli tupu kwa hiyo  kama bado unakumbuka kumtamani MWEZI huu mke wa jirani  au MME wa JIRANI ,....
.... inawezekana  wewe TARALILA hii HAIKUHUSU na nia nikutaka tu kujaribu KUKUMBUSHANA ,...
.... kutosahau KIRAHISI!:-(




Swali baada ya mazungumzo baada ya taarifa ya habari:
  • Lakini si inasemekana hata MLALAHOI anaweza kuzoea kulala HOI kitu kimfanyacho asahau kuna wakati alichukia ulalahoi kisa wanasiasa walimuahidi kuwa kuna ARI MPYA na NGUVU mpya au kuwa WATAJAZWA MAPESA ki-CHEYO?


NIMEACHA!:-(


Hebu Crystal Lewis abadili kwa kukumbushia ya-When God`s People Pray




Au tu tuhame huko nakurudi kwa FRYKTION ,PROBLEM CHILD na PARRY JACK wakidai-Yo Woman Buttin Me



Au tutulienao tu Fryktion, Parry Jack na Problem Child katika ndude - Rooster


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP