Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bado nipo hapa AMSTERDAM, Uholanzi MDAU!

>> Tuesday, August 23, 2011


Kama  upo HAPA,....
.....nistue hata kwa e-mail: skitururu@gmail.com.

Tunaweza kukutana kubadilishana  mawili matatu MKUU!

Nipo  mpaka ijumaa kwenye hoteli:

Tulip Inn Amsterdam Centre
Beursstraat 11-19
1012 JT AMSTERDAM


BAADA ya hapo nitakuwa nje kidogo ya AMSTERDAM,...
.... kwa hiyo kama uko mjini,...
..... nipo mjini kabisa MKUU.

Habari ndio HIYO,...
...TUWASILIANE basi!
SIKU NJEMA basi MKUU!

Hebu Esperanza Spalding aanzishe upya  na kubadili korokocho kwa- I Can't Help it



Au tu Esperanza Spalding adinye pia - I Know You Know / Smile Like That


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:05 pm  

Ahsante kwa taarifa...uwe na wakati mzuri huko Uholanzi....

Simon Kitururu 3:49 pm  

@Mtoto mzuri Yasinta: Unajua nilidhani unajua niko pande hii yani!Nipo lakini! NJOO BASI tangalie uwezekano!:-(

Yasinta Ngonyani 9:06 pm  

mmmhh:-(

Simon Kitururu 4:08 pm  

@Kigoli Yasinta: Mmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP