Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Una FURAHA MHESHIMIWA chini na JUU?

>> Thursday, August 18, 2011

MAISHANI kuna watabasamuwo JUU ,...
... wakati chini labda wana GONO hata la kutopata CHOO!:-(

Swali:
  • JE Unafuraha MKUU kotekote?

Ndio ,...
... inasemekana kuna wengi wananunia hata kipengele kimoja tu ambacho labda ni kuwa BOSI hana nyege nao, au BASI la kwenda MATOMBO limechelewa ..
... ingawa ukiwasachi mwili mzima labda UNAWEZA KUSTUKIA wangekuwa na FURAHA kwa kuwa wana bonge la MWILI hata kama hujawachungulia chini ya kificha nyeti.:-(

Swali:
  • Si nasikia MARA NYINGI NI kitu kimoja tu ndio kisababishao labda wengi AMBAO WANGETUCHEKEA hawatupi hata TABASAMU?:-(

Ndio,...
... labda aliyenuna JUU kwa ushahidi wa bonge la sura lililonuna kama matako ya IDDI AMINI,..
... kuanzia shingoni kwenda chini ,...
.....MWILI unatabasamu!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA katika lebo UJINGA.:-(

Hebu Papaa MUNISHI alete uchokozi kwa kudai -JIRANI MCHOKOZI



Adinye pia ndude-MSIABUDU AMERIKA



Au hebu Bob Marley ahamishe kwa kuongea,...



Halafu abadilishe zaidi na kuweka ndude kwenye-BROADWAY



Kabla hajamalizia kwa kudai tu - Fanya rege





0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP