Kukosoa kwingi kwa BINADAMU hufanywa KIMYAKIMYA!
>> Sunday, August 14, 2011
Inawezekana UNAKOSOA na KUKOSOLEWA na walioka KIMYA,...
.... kwa kuwa LABDA hata usipotaka kuna UWAKOSOAO kimyakimya,...
.....na taka usitake labda WENGI waonao kasoro katika yako wako KIMYA!.
Swali:
- Si labda akukosoe hata utafunavyo msosi INAWEZEKANA?
Ndio,...
.... labda mengi uyakosoayo,....
.... huwa unafanya hivyo MUKICHWA na mazingira ya KUKOSOA waziwazi yasipojitokeza huwa haijulikani kuwa UMEKOSOA mtu!
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumapili NJEMA!
Hebu Rais wa HAITI Michel Martelly arudie -OULALA
Huyu huyu Rais Sweet Micky aendelee kwa-Kompa forest des pins
AU tu Rais Michel Martelly amalizie tu kwa - San Ou
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Umenena..jumapili njema pi jioni njema....
@Yasinta: Asante Mtoto Mzuri!
Post a Comment