Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI MHESHIMIWA !Kwani uko HURU angalau KUJAMBA sasa hivi hapo ulipo MHESHIMIWA?

>> Friday, August 05, 2011

Ndio,....
.....kipimo cha UHURU labda chaweza kuwa ni KIDOGODOGO,....
..... kama kuachia ushuzi KIUHURU ,....
..... na kwa KUPIMA kama uko kweli HURU labda  kwa kuwa hakuna kipimo MAALUMU kijulikanacho,....
..... inawezekana UKO HURU  MKUU kama kwa UHURU unaweza mpaka KUBANJA na kumeza KOOZI  kwa UHURU huku UKISHUHUDIWA  na uwaheshimuo AISEE!:-(

Swali:
  • Kwani KIPIMO cha UHURU WAKO ni nini?
  • Kwani UMESHATAFAKARI ni nini KIINI cha kikukosechasho  UHURU ingawa chooni uko huru?
  • Hivi UNAJIAMINI?


Ndio,....
.... na LABDA kwa aliyezoea kutukana HADHARANI na anajiamini kwa HILO,...
....matusi hadharani labda SIO KIPIMO cha UHURU kwa HUYO kama tu isemekanavyo kuwa labda kwa MALAYA muuza NYETI kipimo cha uhuru wake labda sio tena uwezo wake HUO wa  wakumvulia mtu nguo kisa huyo mtu KALIPIA kidaka ulimbo!:-(



NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!:-(

Hebu Unique Sisters waanzishe kwa-NAKUPENDA



DUDU BAYA angilie kati kwa-MIMI ni MAMBA



Kassav warudishe-SyƩ bwa



SIZZLA abadili kabisa kwa-DRY CRY



Burning Spear arudishe-She is MINE




Kabla KASSAV hawajarudisha na kutuliza tena mshawasha KIKUMALIZIA  kwa -Siw Ou Pa la



Nipo!:-(








4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 7:10 pm  

mmmmh asante kwa changamoto,ngoja nitafakari ili nijue uhuru wangu uko kwenye lipi...

Simon Kitururu 8:43 pm  

@EDNA: DUH!

isaackin 10:48 pm  

ha ha haaa,mkuu hii ni wazo lako tu,lakini dah ni kweli hatujiamini chooni,mtu ukiwa unashusha injini badala ya kutulia inabidi wewe ndio upige chabo kama wanakuchabo,si unajua vyoo vyenyewe pspoti size na mlango gunia?
maneno mazito haya mkuu inabidi kukaa chini kuyatafakari kwa kina ingawa wengine watasema matusi!

Goodman Manyanya Phiri 11:25 pm  

Kipimo cha uhuru mtu binafsi anaejipatia mbele za wengine AU HUKO CHOONI CHA KARIBU NA CHUMBA CHA MAPISHI, ni kiwango cha utaalam wake katika tendo la unafiki. Msingi wa ustaarabu ni unafiki.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP