KUJARIBU ni dawa ya KUISHI huku ukiridhika kwa kujua hata kama HUKUOPOA NGOMA angalau ULIJARIBU!
>> Wednesday, August 31, 2011
Kujaribu ni DAWA,...
..... kwa kuwa kwa weza kukuhakikishia ni jinsi gani UNAJUA hata kile uaminicho unajua,....
.... kwa kuwa labda bila KUJARIBU hutajua kwa uhakika ni kweli UNAWEZA uaminiyo unajua!:-(Swali:
- SI unajua bila MDADA KUJARIBU labda hakitafanyika kitu kihiari katika DUNIA ya leo ya KISASA?
- Na siunajua bila kufanya labda hakuna atakaye gewa mimba?
Ndio,..
... labda JARIBU,...
... kwa kuwa angalau KISAIKOLOJIA,...
.......bado ni tiba PIA ya yale ambayo ungeweza kuja KUJILAUMU hata UZEENI kisa HUKUJARIBU wakati KIUJANA ungeweza!:-(
NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu OSHO aongelee- Behave As if You Are the First Here
OSHO aendeleze shule kimtazamo wake kwa- Anybody Who Gives You a Belief System is Your Enemy.
OSHO aongezee dozi ya shule kwa- Love and Hate Are One
Krishnamurti angilie kati darasa na kuuliza - Who am I?
J. Krishnamurti amalizie darasa kwa- Why don't You Change?
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Duh! inabidi haraka hapa sasa maana wengine tunakaribia UZEE na isije tukajigamba:-(
Kujaribu/kuthubutu.huwezi ukajaribu kitu halafu usiridhike namatokeo yake. hapo utakuwa unapingana na neno lenyewe kujaribu.pia unapojaribu ukifanikiwa,nifunzo tosha katika maisha.ila katika kujaribu huko ,ujasiri nimuhimu,ili upate kile unacho kijaribu. kaka S.
Kaka Sam! Kweli umesema kujaribu ni majaribu. Hii ndio maana hata mwizi akishaanza kuiba basi kuacha ni vigumu sana....Pia ninawasikia wanaovuta sigara wanasema ni VIGUMU sana kuacha..... Duh! kaaaazziiii kwelikweli!!!
Post a Comment