Dalili ZIKIFIKIA kufikiriwa ni za NYEGE!
>> Saturday, August 06, 2011
Na dalili,...
..... za hata kutaka KUTOMASATOMASA,....
...... labda inamaaana kuna kitu kipo CHA KUTOMASA hata kama ni kile kiwafanyao waona DALILI wajue ni DALILI ya NINI hata kama hawajastukia ni NINI.:-(
Swali:
- Si unajua DALILI kama hakuna kijulikanacho NI NINI- mwenye dalili hiyo na AHISIYE HIYO ni dalili ya NYEGE labda BADO dalili HIYO ya nyege inaweza kuhusishwa mpaka kwa vitu vingine ambavyo kuna atakaye fikiria ni matunda tu ya kupiga kelele AU KUHEMA kimfunguto GHAFLA bila sababu kisa mtu kajigusa maeneo NYETI mwenyewe kwa bahati mbaya kwa kuwa haki yanani labda ni kweli hakuwezi kuwa na dalili hapa DUNIANI kama hakuna KITU kitiacho dalili hata kama hicho kitu CHENYE KIIINI CHA DALILI ni KINYEO kichafu kama KIKOJOLEO tu ?:-(
DALILI,...
... na DALILI inasemekana hata kama ni TANZANIA kidalili sasa hivi ,...
.....kuwa KWA WASTUKIAO DALILI ni kuwa eti watu hawaburuzwi tu TENA hata KISIASA kama enzi za NYERERE!:-(
SWALI:
- AU?
DALILI!
Ndio,......
....inasemekana kama unadalili za NYEGE;....
.... labda ni kweli una NYEGE weye!:-(
Swali:
- SI inasemekana mwenye dalili za njaa labda ana njaa HUYO?
NI WAZO TU HILI MKUU kiheshima kabisa aisee!:-(
Hebu Ras Muhammad aturudishe Indonesia tena katika - Musik Reggae Ini
RAS MUHAMMAD na SAYKOJI watubakize hapahapa Indonesia kwa ndude - SESUNGGUHNYA
Kabla DAMIAN MARLEY hajaturudisha tena hapa JAMAICA kwa-Welcome to JAMROCK
Hebu aweke hii kitu pia katika DRUM & BASS
Au tu hebu NAS aingilie shughuli za DAMIAN MARLEY katika ndude-Africa Must Wake Up
Kabla hawajazima ndude kwa - Land Of Promise
NIPO!:-(
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment