Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Watu huwa na MCHEZO wa kukubaliana na MWIZI wa PIPI kuwa PIPI ni TAMU,...

>> Thursday, October 06, 2011

.... na tofauti ipo tu  kwakuwa MWIZI huamua KUIIBA pipi hiyo!:-(

Swali:
  • Au?
Ndio,...
.... labda  kunakufanana kwingi tu  ,.....
......ndani ya  MBAYA na MZURI pamoja na kuwa  watu hubobea kwenye tofauti ndogo tu  iwezayo kufanya MZURI  na MBAYA kufikiriwa ni WATU tofauti sana!:-(

Swali:
  • Si unakumbuka KIMWANA mwenye bonge la KALIO kisangara wamo na yule ambaye ana KALIO tepwetepwe si bado wote wawili  ukweli ukopalepale kuwa wana MAKALIO ingawa kimapenzi ya watu  mmoja nundu zake za kukalia au kutikisa katika mwendo hupendwa zaidi?

Ndio,...
..... ukifananisha,...
.... KILA MTU  kwanza kabisa ana UBINADAMU  hata kama  kuna wasifiwao  ni wazuri kama MALAIKA!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Quincy Jones aingilie kati na kurudisha nyundo -The Secret Garden
... ndio Barry White ,Al B. Sure, James Ingram na El Debarge walitoavokoz kipedejee





Quincy Jones abadili kidogo kwa - SOUL BOSSA NOVA




Quincy Jones abadili zaidi kwa - Quintessence



Quincy Jones amrudishe Tevin Campbell katika-Tomorrow



Halafu Tevin Campbell amalizie tu kwa -Can We Talk?


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 7:08 pm  

Ilimradi anaweza kukaa mwenyewe tuu,mengine ni nyongeza kaka.

Simon Kitururu 7:11 pm  

@Rachel: Umenena Dada!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP