Jumapili NYINGINE labda bado ni JUMAMOSI kivingine!:-(
>> Sunday, August 05, 2012
Na ukiwahisha ya JUMATATU,...
... basi labda bado una ya JUMAPILI weye!:-(
Swali :
- AU?
Na usipoangalia,...
.... au hata unapoangalia,...
.... labda ya JANA bado umekujanayo MPAKA leo AISEE!:-(
Ni wazo tu hili NGULI!
Hebu Fally Ipupa aingilie kati kwa-Bicarbonate
Fally Ipupa aongezee-Kele Papa
Au tu azime kwa -JUPKA
Ndio,...
...bado NIPO aisee!:-(
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment