Haleluyah!Heri ya ........na kitu fulani!
>> Monday, December 24, 2007
Nawatakia heri fulani wote mnaosherehekea kitu fulani!
Ngojea niseme....
Nawatakia heri fulani wote mnaosherehekea kitu fulani!
Ngojea niseme....
Shughuli fulani zimenikwepesha internet, lakini nipo bado.
Nimebanwa kidogo kuandika sana. Lakini ngojea nikupe baadhi ya picha.Nitarudi lakini!
Bado nikiwa na fikira fulani fulani... Eric huyu ananisaidia kufikiri...
Mimi na Eric Bibb
Msikilize kidogo...(samahani video iko auti of sync)
Kwa wanao niuliza bado, kuhusu nywele, au kama mimi ni rasta. Bado najibu mimi sio rasta. Mimi Muafrika fulani tu....
Duh!
Ngojea nikuache na picha fulani Za Kuanzia Black Uhuru,The ABYSSINIANS na...
Aliko Eeh!
Black Uhuru
DUH !
Lakini nasikiliza nyimbo hizi hapa chini bado....
IJahMan
Bado nahisi LABI asingekuwa Msenge angekuwa maarufu Africa.
Ukiachana na chuki zako ... sikiliza anasema nini kwenye wimbo huu hapa chini hasa baada ya kuangalia mahusiano ya rangi katika binadamu hasa weupe na weusi..
...
Chacha umenitenga lakini:-)
Bado nikiwa nahuzuni kama jana Usiku kutokana na kukosa Ze ZUbedas namsikiliza hata Gregory Issacs...
....Msikilize Gregory basi...
Usisome T-shirt ya huyu DJ hapa chini lakini:-)
DUH!
Siku njema!
Nitarudi siku sekunde fulani!
Tulia na kaka ya Michael Jackson....Jermaine
Nimebanwa kinamna, ingawa ndani ya kubanwa, mida mida nilifanikiwa kukutana na ... na kuliwazwa na ......
DUH!
Kabla sijakutonya ...
Twende JAPAN tumsikilize PUSHIM
akikupa THE RACE OF LOVE
Sasaaaaaaaaaaaaa......
Pata ambao wako nami ingawa sija.....
Kutoka CUBA
GRUPO SON CON SON na Cuban Ambassador
DUH!
Pumzika basi!
AU!
Ngojea basi SAIDA KAROLI atuleteee...
DUH!
Tuendeleee.....
,,,,.... na Wadau ambao pamoja na kushindwa kwangu kuandiaka mawazo wame.....
Ronaldo , Mzee wa London
Mkuu wa Kikao aka Raymond
Byamungu EEH!
DUH!
Original WAX
Mtimkubwa aka Fidelis na anayejisogeza:-)
Erick aka PRODUCER
Wax na CHE
Edo
Mghosi! Avae urewedi!:-) Hi aho!:-) Du ndugu yangu nahitaji shule kidogo kabla sija piga forighoko!:)
Erick aka Filosofa
DUH !
Naacha kuelezea ..
Pumzika kidogo na THE CARDIGANS
Picha zaidi kidogo...........
DUH!
Najua umestukia naweka picha kutokana na uvivu wa kuandika.
Lakini eeH!
Naacha maswala ya picha. Narudi na kilicho mawazoni baada ya masaa kadhaa...
DUH!
Ngojea nikuache tu na kitu fulani...
AU?
Mpate Werrason
© Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008
Back to TOP