Haleluyah!Heri ya ........na kitu fulani!
>> Monday, December 24, 2007
Nawatakia heri fulani wote mnaosherehekea kitu fulani!
Ngojea niseme....
Nawatakia heri fulani wote mnaosherehekea kitu fulani!
Ngojea niseme....
Shughuli fulani zimenikwepesha internet, lakini nipo bado.
Nimebanwa kidogo kuandika sana. Lakini ngojea nikupe baadhi ya picha.Nitarudi lakini!
Bado nikiwa na fikira fulani fulani... Eric huyu ananisaidia kufikiri...
Mimi na Eric Bibb
Msikilize kidogo...(samahani video iko auti of sync)
Kwa wanao niuliza bado, kuhusu nywele, au kama mimi ni rasta. Bado najibu mimi sio rasta. Mimi Muafrika fulani tu....
Duh!
Ngojea nikuache na picha fulani Za Kuanzia Black Uhuru,The ABYSSINIANS na...
Aliko Eeh!
Black Uhuru
DUH !
Lakini nasikiliza nyimbo hizi hapa chini bado....
IJahMan
Bado nahisi LABI asingekuwa Msenge angekuwa maarufu Africa.
Ukiachana na chuki zako ... sikiliza anasema nini kwenye wimbo huu hapa chini hasa baada ya kuangalia mahusiano ya rangi katika binadamu hasa weupe na weusi..
...
Chacha umenitenga lakini:-)
Bado nikiwa nahuzuni kama jana Usiku kutokana na kukosa Ze ZUbedas namsikiliza hata Gregory Issacs...
....Msikilize Gregory basi...
Usisome T-shirt ya huyu DJ hapa chini lakini:-)
DUH!
Siku njema!
Nitarudi siku sekunde fulani!
Tulia na kaka ya Michael Jackson....Jermaine
© Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008
Back to TOP