MOJA ya sababu KWA KAWAIDA MFIKIRIA SANA UKE , hadharani anaweza kujulikana na KUWA MAARUFU kwa KUONGELEA SIASA tu!:-(
>> Sunday, February 28, 2010
MAZOEA yaweza kumzoesha MTU kuongelea SIASA wakati shida yake ihitajiyo kuongelewa ILI IPATE VITENDO MSWANO ni ILE ya UKE.:-(
NDIO,...
... tatizo moja la BINADAMU AWAZAYE ni kufikiria pia kama AWAZACHO chafaa kuongelewa HADHARANI.:-(Swali:
- Si umestukia hilo hata kwa kufikiria ni vingapi ulivyowaza leo ambavyo huna-KIBEZI cha kuviongelea hadharani ili MAMA Mkwe asikie?
- Umeshafikiria ukweli wa UPOTOFU wa kwamba ukiwazacho NI SIRI na watu hawajui ndicho UWAZACHO?
Katika MAWAZO ELFU YA MTU ndani ya siku ,...
.....inawezekana kabisa BINADAMU huongelea kitu kimoja tu HADHARANI!Ila BINADAMU ni MUWAZAJI wa maelfu ndani ya siku ,...
..... na waweza kirahisi kusahau hilo kwa kuwa MTUZ ni CHAGUZI wa cha KUONGELEA hadharani.:-(
Swali:
- Si unakumbuka hilo?
MAZOEA yanaweza yakawa yanasaidia ni nini UNAONGELEA HADHARANI zaidi,....
... wakati kikuwashacho KUNAKO NANIHII zaidizaidi ufanyacho zaidi ni KUKIFIKIRIA TU.:-(
MAZOEA yanaweza yakawa ndiyo yasababishayo kirahisi MTU anaongelea SIASA zilizo maarufu HADHARANI zaidi,...
.....wakati tatizo lake ni UKE na UMASIKINI usioguswa na SIASA ZISIZOMAARUFU kuongelewa HADHARANI ambazo KIHESHIMIWA hufikiriwa TU.:-(
Swali:
- Katika ulivyoviwaza leo si unakumbuka ni kipi UMEAMUA hautaweza kukiongelea HADHARANI ?
- Umeshawahi kufikiria vizuri ni nini kinachofanya baadhi ya uongeleavyo CHUMBANI hutaki wageni wajue huwa unavigunia, SEBULENI?
Ndio,...
....kiongelewacho hadharani labda wala si CHEPESI kuongelewa ki hivyo na MUONGEAJI ,...
......na kiwezeshacho KUKUTIA NGUVU ya KUKIONGELEA HADHARANI labda ni ULIVYOJIFUNZA TU kuamini HICHO kinakubalika kuongelewa HADHARANI ,....
....hasa kwa kuwa wote TWAFUNZWA KIHESHIMA hata bila kufikiria sana kujua na kuamini MAISHANI ni VIPI vichache vifikiriwavyo ambavyo ni sahihi KUONGELEWA HADHARANI.:-(
Na chakusikitisha zaidi ni kwamba,...
....WATU wengi sababu zao za kukalia KIMYA SHUGHULI ni za KUFIKIRIKA tu kwa kuwa kihalihalisi WAJARIBUCHO kuficha kwa kutokiongelea kama kile cha kuwa wakati BADO WADOGO waliwahi kulamba KAMASI ,....
..... labda wamfichaye bado AKIWA NA KAMASI na akihisi hakuna watu badala ya KUJIFUTIA kwenye KIJAMBA KOTI, Suruali au KOCHI kamasi , kirahisi hulilamba KAMASI katika staili ya kulimeza tu kisa anaamini hakuna watu wampigao chabo HADHARANI :-(.
Swali:
- Unafikiri kwa uhakika HII ni porojo tu?
Ndio,...
.... mpaka katika vitu MAMILIONI VIFIKIRIWAVYO viwezwavyo HATA kuanzishiwa BLOGU kuna waliochagua kuongelea FASHENI TU hadharani.Ndio,....
.... katika vitu MAMILIONI VIFIKIRIWAVYO viwezavyo kuanzishiwa BLOGU, Mtakatifu Simon Kitururu huchagua kuongelea CHUPI na UJINGA TU hadharani.:-(
Swali:
- Unauhakika wewe unaongelea nini kirahisi HADHARANI?
- Si unakumbuka tukiachana na vile BINADAMU afikiriavyo unavyoweza kumfanya kirahisi AVIONGELEE, -SI WAJUA BINADAMU MWENYE AIBU ukimuandaa afikiriavyo waweza kumfanya kirahisi aonyeshe chupi hadharani kisa umemfunza kuita kificha nyeti `` BIKINI´´?
- Si unajua katika vitu MILIONI alivyowahi kufikiria MTU huwa kunasababu tu ni YESU Mtu FULANI apendacho kuongelea hadharani na sio ukweli kuwa kimsumbuacho hata kusikiliza mahubiri vizuri ni NYEGE mshindo?
Ndio,....
.... kunasababu kuna VITU milioni ufikiriavyo wakati katika HIVYO ni KIMOJA ambacho uko huru kukizungumzia HADHARANI.:-(Na kikubwa ni kwamba UMEJIFUNZA tu ,...
.... ni NINI huwa KINAONGELEWA HADHARANI kitu ambacho ndicho KIKO NYUMA ya uchaguzi WAKO wa nini unakiongelea HADHARANI.
Na baada ya kujifunza ni nini katika kundi la wadaku ni RUKSA KUKIONGELEA HADHARANI kama unataka ufikiriwe UNAJIHESHIMU ,...
... kinachofuata katika uongeleayo kirahisi HADHARANI ni MAZOEA tu ya ni nini unajisikia huru kurudia kuongelea kitu ambacho husababisha aliyezoea kuongelea UDAKU kirahisi ATARUDIA kuongelea udaku tu HADHARANI.:-(
Na haki ya MAMA KISEBENGO TENA !- ukishazoea kitu,....
..... si ajabu katika MATUSI yote DUNIANI weye kirahisi UKIPANDISHA nyege ya KUTUSI utatukania MAMA kama matusi ya MAMA ndicho ambacho ULICHOJIZOESHA kutukana HADHARANI.:-(
Na ukishazoea kitu,....
...... katika MAELFU YA UFIKIRIAYO waweza kujikuta ukumbukayo kuyaongelea kwa kuwa ulichozoea kuongelea ni SIASA ,....
.....utakaCHOkumbuka kuongelea ni SIASA TU kwa HATA wapenda FASHENI wakati kikusumbuacho wakati huo ni JINSI YA KUPATA UKE hadharani.:-(
Swali:
- Si unakumbuka unaruhusiwa kunibishia?
Ndio,...
.... mengi UYAFIKIRIAYO hujawahi kuyaongelea na sababu kubwa HUYAONGELEI UYAFIKIRIAYO MENGI ni za kufikirika tu NA ni ALINACHA tu ,...
.....na kwa hilo SAMAHANI kwa kukukumbusha MHESHIMIWA!
NAACHIA HAPA WAZO Mheshimiwa!:-(
Hebu Naughty by NATURE katika kubadili warudie.- Jamboree
Ice Cube arudie - Today Was A Good Day[JIHADHARI: :LUGHA fulanikatika wimbo KAMA wewe ni msikiliza NDOMBOLO KATIKA NENO INASEMA NINI ... ndude inatumia lugha ya namna gani kiheshima inaweza kumkwaza MLOKOLE.:-(]
Au tu Snoop Dogg abadili zaidi kwa- Pump Pump[Tahadhari: KWA mheshimiwa asikilizaye MANENO anaweza kusikia lugha chafu!:-(
Nipo,....:-(
Read more...