KAWAIDA- kwa kuwa ni kawaida kupitisha siku bila KUFANYA matusi!:-(
>> Saturday, July 31, 2010
[Tahadhari: Katika tararila HII neno matusi halina uhusiano na vitendo vitendewavyo sehemu za siri.:-(]
NDIO,...
... kwa kuwa ni kawaida kupitisha siku bila kufanya MATUSI,....
... bado hilo halibadili kuwa ni kawaida PIA kama siku ikipitishwa kwa kufanya MATUSI.:-(
Swali:
- Unabisha?
KAWAIDA ni KIDUDE bonge la kigeugeu kwa kuwa labda KAWAIDA,....
..... huhitaji tu UNAVYOTAFSIRI nini ni KAWAIDA na uzoefu wako wa KURUDIARUDIA KITU ,....
.... kitu kifanyacho kumuwezesha BINADAMU MWINGINE kwenda CHOONI kabla hajabanwa kwa kuwa ni kawaida kwake akiamka tu cha kwanza ambacho kwake ni kawaida ni kwenda kunya.:-(
Swali:
- SI mpaka kuna atakaye kula NANIHII wakati hana njaa ya NANIHII kisa kazoea tu na kwake akiona tu KINONO anafikiri ni lazima aonje?
- Umewahi kuchunguza UWEZEKANO kuwa labda KAWAIDA kwako inaweza ikamchubua uchi wa FIKIRA mwenzio?
Na kama kwako ni KAWAIDA kupitisha siku bila kula kwa kuwa UMEZOEA,....
... unaweza usimuelewe aliye FUNGA hata RAMADHANI kwa kutafsiri kutokula ni KUFUNGA.:-(
NIMEACHA!
NA ni wazo tu hili MHESHIMIWA wala usikonde!:-(
Hebu RICHIE SPICE akiwa na CLINARK walete kitu - Living In A Concrete Jungle
Richie Spice na J BOOG wanyokolishe pambio-Got to be STRONG
Au tu RICHIE SPICE amalizie mkuno kwa ndude- MORE LIFE
Au tu J Boog alainishe ujumbe kwa -LETS do it again
Read more...