Ndio,...
... hata UKIBISHA,...
..... LABDA moja ya silika ya BINADAMU ni kupigana na labda ndio maana hakuna BINADAMU atakaye ISHI bila kusikia VITA za WATU fulani au NCHI fulanin mahali ,...
... ingawa kwa hilo kama anashangaa labda anaruka VITA azianzishazo YEYE MWENYEWE.:-(
Swali:
- Unataka kusema hakuna siku kikutekenyacho mpaka unachekelea kanyau hakikufanyi utake kukwida MTU kwa kuwa ndicho kikuuzicho siku hiyo mpaka unataka kumpiga mtu MBATA?
Na LABDA usidhani ni WAKOSAO HOJA TU za KUTETEA HOJA ZAO NZURI hata za kuwa MHESHIMIWA kajamba halafu HAWAAMINIKI,...
....kuwa NDIO ni kweli wasemalo ndio hufikia kupandisha MWENYE HOJA ASHINDWAYO KUTETEA mzuka wa kupiga MTU abishaye hata bila SABABU halafu ndiye asikilizwaye ingawa hana HOJA.:-(
Swali:
Ndio,..
... kujikontroli NI muhimu na ni poa sana,...
... ila NYEGE nyingine za KUPIGA mtu labda zipo tu ndani ya MTU hata kama zinaangaliwa vibaya kama zile ZISIKIWAZO kwenye REDIO za MBAO kuwa ni za michezo ya MHESHIMIWA kutamani kulawiti MTU,...
... na HIZO labda hata kama ZINASABABU ,...
... bado katika jedwali zawewa kuwa ziko kwenye LILE fungu la zile HAMU zifikiriwazo kuwa ni za BILA sababu kwa kuwa huyo mtu ni BINADAMU,...
..... kama tu zile zikufanyazo labda hata wewe kujisikia kufinya MTOTO asiye na kosa kisa analialia tu na hata ukimpa peremende hanyamazi.:-(
Swali:
- Si unakumbuka kutonielewa RUKSA?
Na ndio,...
... labda tukiondoa neno KUPIGA mtu,...
... labda hata wewe ushawahi kukasirikia MTU bila sababu maalumu na hilo hukulioanisha na NYEGE ya kukasirika tu!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu tena JAZZ ipande kiaina kwa msaada wa DUKE ELLINGTON katika mnuso-Sophisticated LADY
DUKE ELLINGTON na JOHN COLTRANE warudishe kitumbua-In a SENTIMENTAL MOOD
Halafu
ASHERU na
TALIB KWELI wazime tundu kwa-
MOOD SWING
Read more...