Wakati KIMAADILI kuna WAKOJOAO pembeni kidogo ya CHOO kwa MAKUSUDI yani na WALA sio kwa KIDUCHU tu yani!!
>> Saturday, March 31, 2012
Na kama akojoaye PEMBENI ya CHOO,...
.... anajua hapo ni PEMBENI YA CHOO,...
....kifanyikacho ingawa bado ni KUKOJOA,...
.... lakini LABDA kina tatizo jingine KIMAADILI zaidi ya lile la KUKOJOA pembeni ya CHOO.
Swali:
- AU?
- Lakini na si mbinu nyingine za WASTUKIAO ambao ni WASAHIHISHAO maadili kiwafikirishacho staili za kusogeza choo kidumbukie chooni bado huhitaji mtu ajisaidie pembeni ya CHOO?
Na aachiaye MSALANI pembeni ya shimo la CHOO,...
.... akumbuke tu afanyacho ni kuachia wengine waingize hicho choo chake SHIMONI hata kama wakati huo kifanyikacho na WASAHIHISHAO shughuli atakuwa HAKIONI!
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala siongelei ya CHOO kama CHOO!
JUMAMOSI MWANANA MHESHIMIWA!
Hebu tupoteze maadili zaidi kwa ICE CUBE akiingilia kati kwa ya jana katika pini-FRIDAY
Ice CUBE aongeze kuharibu kwa ya leo katika pambio-It Was A Good Day
Easy E aingilie kati na kuharibu zaidi maadili kwa -Real muthafuckin G's
Ila sijui kwanini ICE CUBE na Dr DRE wapindishe zaidi kwa dozi -Natural Born Killaz
Au SIZZLA ajaribu kuhama kwa kuongelea wajichubuao akiwemo VYBZ KArtel ila abaki palepale kwa -How Dem So Brite
Read more...