Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mwendo wa MARINGO hata bila kutingisha tako.....

>> Monday, July 26, 2010

.......LABDA ni matumizi mabaya ya KUTEMBEA.:-(




Swali:
  • Umewahi  kumuangalia vizuri MTU HATA ASIYE na TAKO LAKUTOSHA  atembeaye kwa MARINGO?
  • Umeshawahi kumuangalia vizuri MTU aringaye huku ukifikiria ni kwanini anaringa wakati UNAHISI labda chupi YAKE  ANGALAU inadoa la mkojo WA JANA   na  UNAJITAHIDI KUJIZUIA kufikiria  labda  SWALA hilo LA DOA wala halina undugu na DOA la  MAVI?




NI hilo tu na ni wazo tu hili MHESHIMIWA.:-(




Hebu NENEH CHERRY ajaribu  kutubadilisha wazo kwa bolingo iitwayo-WOMAN



Au tu Maxi Priest aturudishe maeneo kwa pambio- Dancing MOOD



Au tu na BURNING SPEAR eti naye ajaribu kurudisha shule ya HISTORIA  kwa sindimba iitwayo-COLUMBUS



Au hebu ngojea  tupitie tu kwenye kicheni pati ya Marianne

Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket

Au turudi TU  kwenye shughuli ya AIYEKOTO

Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket



Photobucket


Na ni kweli kwenye familia ya Mzee Kitururu tuko watano KAMA BABA HAKUZAA NJE au HATAZAA NJE ,...
....na ni wavulana watatu na wasichana wawili kama baadhi nilivyo wadaka Bongo juzi ya jana.:-(


Photobucket
Davie ambaye ni KIFUNGUAMIMBA




Photobucket
Da Nte/Phebe wa pili


Photobucket
Kheri , ambaye ni watatu kuzaliwa


Hapa kuna Joyce aliyejificha Marekani na hakutokea kijiweni

Halafu eti ndio mie watano ambaye eti ni KITINDAMIMBA asiyechana nywele:-(
Photobucket




Photobucket


Photobucket

Read more...

UTAKATIFU!





WATAKATIFU wengi  wajulikanao kwa UTAKATIFU,.....
.... ni wale waliovishwa UTAKATIFU na wenzao BINADAMU .

Swali:

  • AU?


Na labda CHOCHOTE kipewacho na binadamu UTAKATIFU,...
....kama huna haraka ya kwenda chooni na uko KIJIWENI unaweza KWA UHAKIKA kukibishania.:-(



Naendelea KUWAZA......


Au hebu Dr Dre arudishe bolingo  iitwayo- The day NIGGAZ took over



Au tu Dr Dre bila kumsahau Snoop waendelee na- Lil GHETTO boy



Au hebu Snoop arudie pambio- Lodi Dodi

Au labda  tupitie kwenye kikao alichokuwepo  ALIKO halafu twende na pale aliipokuwepo Brother FIDE kinamna...

Photobucket


Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket







Photobucket



Photobucket



Photobucket





Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket

Read more...

KISIMI!

>> Sunday, July 25, 2010

Tahadhari: Lugha YA TARALILA HII  imekaa uchi!:-(


Kwa kuwa,...
..,,,, kama kuna KISIMI,...
....basi lazima  LABDA pia kuna UKE.:-(




Kwa kuwa,...
.... labda astukiaye kinuka mavi  INAWEZEKANA sio MIMI,..
.... basi kama kuna  astukiaye mpaka UKE basi hicho kitu  kinaweza hakikishia MTU duniani LABDA kuna mpaka UUME.:-(


Na kama kuna UUME na UKE,..
...basi labda kuna KETE ya  MCHEZO ambayo  inaweza KUSABABISHA  mwenye UKE   akumbuke kuna uwezekano UKE unaweza kupewa MPAKA  bomba la BINGWA la UUME.:-(


Swali:
  • SI unajua  KISIMI kama ni mtekenyo  kikristo  inaweza kuwa ni BOMBA la kitekenya YESU hasa kama  faraja ya KIKRISTO nikunogewa na AIDIA za kwenda MBINGUNI?

  • SI unajua abughuzikaye na faraja za  KISIMI  anatatizo la kuwa ni kweli amebarikiwa kuwa ana UKE?
  • SI unajua alalamikiaye maharage   alikuwa na MAHARAGEla sivyo asinge lalamikia kula MAHARAGE,.... na haki ya nani tena  hapa siongelei kiharage?

NI WAZO TU hili liwewesekalo MHESHIMIWA BITOZI na usitishike kama halikupandishi mdadi wa KUELEWA.:-(


Hebu turudi COLOMBIA ili Choc Quib Town
wadunge ndude- Toquemen el Bombo



Au tu turudi NIGERIA ili 2 FACE adonye kitu  -FLEX


AU tucheki siku nzima wakati Choc Quib Town wakifanya matusi....


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket





Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket





Photobucket

Photobucket

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP