Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wenye NGUVU ni wahimilio KUTOKUWA na nguvu !:-(

>> Wednesday, April 06, 2011

Kwa kuwa MAISHANI,....

...  kuna UPS and DOWNS aka kipindi MSWANO na kipindi mambo nishai,....
.....labda kipimo cha MWENYE NGUVU  ni uwezo wake wa kuendelea kuwa na NGUVU wakati  mambo NISHAI  aka wakati maishani yuko kwenye DOWNS.:-(

Swali:

  • SI unajua sio kila MTU yuko ngangari  kiakili au hata kiafya ya mwili  akiwa KIBANONI na ni wenye nguvu labda ndio sio wenye micheche mambo yasipokuwa shwari?
  • Unafikiri UNA nguvu?

Na kuna wadhaniwao wana NGUVU ambao ni fulu kupaniki wakiwa kibanoni,...
..... kitu kifanyacho kuwa labda tusubiri  kujua NGUVU za MTU  wakati inajulikana  MTU kikibano apatacho INGETAKIWA asiwe na NGUVU ,....
.... ili tujue nani ni mwenye NGUVU hasa ukizingatia NGUVU za mtu labda sio MISULI.:-(


Swali:
  • Si unajua hata kama kipimo ni KUDANGANYA labda  kinguvu za kuendelea kudanganya kila mtu ana kiwangotofauti cha  kuendeleza UONGO?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Lucky Dube abadili kwa kurudia- Different Colours


Read more...

Leo ni siku MPYA!

>> Tuesday, April 05, 2011

Na inaruhusiwa LABDA ,...
.....kuifanya leo kuwa ni SIKU  ya kuanza UPYA!

Swali:
  • AU?

Ni wazo tu HILI ,....
.....hasa kama ni mtu wa KUJARIBU TENA  kama jambo safari iliyopita LILISHINDIKANA!:-(

Ni hilo tu MHESHIMIWA na kama utajaribu kuanza upya kitu kama MIMI ,....
... nakutakia MAFANIKIO!

TUKO PAMOJA!

Sikiliza Nick Vujicic ambaye kazaliwa bila MIGUU na mikono aongelee kitu katika-I Love Living Life. I am Happy.





Baada ya kupata hilo tuanze naye upya Nick Vujicic katika MAHUBIRI,...
...... yana UKRISTO UKRISTO kimuegemeo kwa hiyo kama unamchezo wakutotekenywa na ndude zenye mrengo wa KIKRISTOKRISTO jua hilo kabisa kabla hujakwazika ingawa naamini  utajifunza kitu ukimsikiliza katika :


-Life Without Limbs



Kama mtu mmoja alivyowahi kusema kuhusu ndude hii:
This has a heavily Christian dressing, and that's not the flavour I like on my salad, but its core points are deeply meaningful and full of truth, no matter what religion or no-religion you happen to practice.

1.





2.






3.






4.


Read more...

KWA MWENYE AFYA: -kama ni BUHERI wa AFYA labda ISHI ukitabasamu kama mpenda UBWABWA akiona UBWABWA,.......

>> Monday, April 04, 2011

..... hasa kama unajua na KUKUMBUKA kuna MTUZ KIBAO zinaumwa na zingefurahi na KUJISIKIA ZINA BAHATI KWELI kama zingekuwa na AFYA kama WEWE,...

.... halafu eti WEWE ndio MNUNAJI na fulu MTORIDHIKAJI.:-(

Swali:
  • Si umedeku MWENYEWE jinsi MTUZ kibao TANZANIA zitapatapavyo kuelekea KOKOTE kule WASIKIAKO kuna MTU kaoteshwa na anagawa KIKOMBE?


Ndio,....
..... kuna wasioridhika ambao LABDA walitakiwa wawe ndio WATU wenye FURAHA sana hapa DUNIANI kwa kuwa pamoja na yote angalau WANA AFYA ZAO!:-(


Swali:
  • AU?

Ndio,....
.... TARALILA hii inakuhusu tu KAMA wewe ni MIONGONI mwa WALE wenye AFYA ZAO hata kwa kisiri,....
.... hasa ikizingatiwa kuwa SIKU HIZI kuna mpaka MTUZ kibao ambazo KISIRI zina MDUDU na zinaumwa ,...
... ingawa hufanya hilo ni siri HADHARANI ukiziona zikitembea kwa MWENDO wa MARINGO au tu ule wa KUDUNDIKA .:-(




Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Musiq Soulchild abadili WAZO kwa-Buddy





Au tu Musiq Soulchild amalizie kwa -Halfcrazy



Kabla Lupe Fiasco hajaingilia kwa -Dumb It Down



Au tu ngojea Dave Chappelle aongelee kidogo - Man Rape


Read more...

Wakati labda INZI naye ni MAKINI!

Ila katika UMAKINI wa INZI,....
...... inzi huchezea pia MAVI !:-(

Na wakati kuna BINADAMU wakiwa wanaongelea wayachukuliayo ni MAKINI hawamfikirii INZI,....
.....wanaweza mpaka kuruka kuwa labda UMAKINI haujali ni kitu gani  mtu binafsi anachukulia ni MAKINI  hasa kwa kuwa  labda kuna waheshimiwao BINADAMU kwa yale WATU wengine waliojifunza kuyastukia kiumakini ambao labda chooni wala sio MAKINI angalau kwa kuchamba  baada ya kufanikiwa mwilini kuondoa BAADHI ya  mavi.:-(

Swali:

  • AU?

Ndio,...
.....LABDA kwa watu  pia UMAKINI PEKEE  hautoshi,....
.... hasa kama KITUCHENYEWE kipewacho MAKSI za UMAKINI sio makini  katika AKILI  za  WATU MAKINI  walilojifunza kuwa ndio MAKINI.:-(


NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Na moja kwa moja hebu INI KAMOZE aongelee-Them Thing Deh




Ini Kamoze adinye- Trouble You A Trouble Me



Au tu Ini Kamoze azime tu kwa-HOTTER THIS YEAR



Read more...

NDOTO zako zote UOTAZO ungekuwa unazichukulia SIRIASI kama BABU wa LOLIONDO!

>> Sunday, April 03, 2011

Inasemekana,...
....WAHENGA hapo zamani za kale WALIJIFUNZA kuamini KILA NDOTO waotazo zina maana FULANI,....

..... na kuna WATU wajanja kama tu WATABIRI ambao walijipatia KAZI/ULAJI kwa kutafsiria watu NDOTO zao ZINAMAAANA gani.:-(

Swali:
  • Unadhani kama KILA MTU angejifunza KUAMINI AOTACHO -hufikiri kuwa mpaka LEO labda ungeshabaka MTUZ fulani ulizoziota mara kadhaa kwa kuwa maudhui ya ndoto yaliashiria HIZO mtuz zinakuzimia?

  • Si kuna WAOTAO kuwa wewe ni LIMPENZI lao na umeshawakubalia UNYUMBA kisa WEWE ni MZURI?


Ndio,....
.... LABDA kuna ambao wangeacha SHULE hata ya MAISHA kwa kuamini ni MAPROFESA wa KILA kitu kisa WAMEOTA kuwa WANAJUA KILA KITU .:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
....na LABDA kuna mpaka OMBAOMBA uwajuao ambao ushawahi kujifanya huwaoni na kopo lao wakati wanakuomba SHILINGI kadhaa uliokuwa nazo ambao kwenye ndoto zao ni MAMILIONEA!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!:-(





Hebu Harry Enfield katika kubadili achokoze WANAWAKE kwa -Women, Don't Drive



Harry Enfield abadili kwa kuigiza kiwezacho kutokea TOTO la KIUME likileta kwa mara ya kwanza bwana lake la kiume katika-Son's Boyfriend




Harry Enfield- Sexist



Au tu Chris Rock aongelee - Men and Women



Bado niipo.......:-(















Read more...

NUKUU: Katika MAISHA kiuamuzi ,.......

Get busy living or get busy dying!




Kutoka katika sinema -The Shawshank Redemption

Read more...

Kama sio MSHABIKI wa kitu unaweza ushangae eti jana INDIA wamewini WORLD CUP !

Inasemekana  huu MCHEZO  wa CRICKET,....

..... haya naacha ,.....
....deku tu mwenyewe washabiki wake ambao  kwa mamilioni jana  fulu kuserebuka....


Read more...

Aku BABU WEE nikome mie mtoto wa watu na Mie sili kwako!- NDANI ya KUMBUKUMBU za MAISHA .:-(

Nimewahi kupewa DOZI hiyo siku moja wakati katika kujipendekeza kuna kimwana aka KISHTOBE mmoja,...

.....enzi za KISHTOBE nibane kwa KUCHA akaona anipashe kitu!

Ila nashukuru baada ya kung'ang'ania sana,...
....ALIYENISUTA HIVO alinigawia baadaye NANIHII  ingawa wala haikunoga kama nilivyodhania na sina uhakika kama DHAMBI hiyo nimesamehewa kwa kuwa wakati nang'angania nigewe nilikuwa najua NING'ANG'ANIACHO ni dhambi!!:-(

Swali:
  • Umewahi kusutwa MHESHIMIWA?
  • SI unajua KUSUTA kuna staili zake na nafikiri ni moja ya SANAA ambayo inakufa siku hizi kwa kuwa haichukuliwi tena SIRIASI siku hizi hata na WASHAMBENGA ambao  enzi za kale wangekushikia na kukufunulia mpaka sketi wakati wanakupasha ushike adabu?
Ndio,....
.....labda,... wazo hili nni la KIJINGA na werevu wala wasingelianika kama MIMI hadharani!:-(



Ni kumbukumbu tu hii ya yatokeayo ndani ya safari hii ya MAISHA Mheshimiwa!:-(
JUMAPILI njema MKUU!:-(

Hebu Bob Marley aanzishe upya kwa -Get up STAND up




Adinye -Heathen




Adinye-So Much Things To Say



Atekenye-Burning and Looting




Au amalizie tu na-Running Away na Crazy Baldhead


Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP