Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA hakuna PENZI liishilo bila UCHIZI wa wapendanao WAPENZI!

>> Sunday, November 20, 2011

Ndio,...
.... labda  kama hakuna UCHIZI kwenye PENZI LAKO,....
.....labda kumbuka kwa wengi  ukitumia akili  penzi tamu  sana  kwa kutumia akili  hushushwa dozi KIUTAMU  na kuna washushwao dozi  WAPENZI mpaka  penzi lao hata likichunguliwa halitawezwa kutofautishwa na PENDO LA DADA na KAKA hata ingawa pendo la DADA na KAKA ni chanya  tu hata katika maisha ya wasio DADA na KAKA kibinamu .


SWALI:
  • Au?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA  Mkuu!
Hebu WILLIE BOBO asigine kidude kwa-GUAJIRA




Au tu azimaye awe ni Oliver N'goma apenyezaye  tena ya- Lili

Read more...

Wakati MHESHIMIWA labda sasa hivi ana hamu kweli ya KUMA leo!

Na yasemekana,...
.....TATIZO la kuma ni kuwa hicho kidude huja na MWENYE kuma.!

Na nasikia,...
... kuma na mwenye kuma ,....
.... maringo yao kwa watu wakawaida ambao ni wahitajio tu chakula kama kitu muhimu zaidi kimtazamo,...
... yasemekana kuma na MWENYE kuma ni vitu viwili tofauti sana kama unaujasiri wa KUTOFAUTISHA. vitu:-(

Swali:
  • AU?
  • Na si unakumbuka yasemekana MBOO haifanani na mwenye MBOO?

Ndio,...
... ni wazo tu hili MHESHIMIWA ,...
.... hata kama kwako wazo hili labda halijavaa chupi!:-(


Hebu SEAL aanzishe upya kisiri kwa-SECRET



SEAL aendelee kurudisha ustaarabu kwa - Fly Like An Eagle



Au tu SEAL asitishe dozi kwa- Kiss from a Rose


Read more...

Safari ni NDEFU,...

>> Saturday, November 19, 2011

... lakini,...
...UKISAFIRI  kuelekea ufikiriako ni utakako KWENDA,....
.... waweza kuja kustukia utakalo  kwa unakotaka kwenda  lipo palepale  TAYARI ulipo.:-(

Ni wazo tu hili MKUU!
Jumamosi njema MKUU!


Hebu turudi MALI ili Oumou Sangaré aingilie tena kati kwa - Seya



Halafu huyuhuyu Oumou Sangaré azime kwa -Ahn diyah

Read more...

Hamu ya KUGUSAGUSA kidogo kidude HUWEZA KUWA ndiyo ianzishayo yajulikanayo kuwa ni ya MAKUBWA ya KUSHIKASHIKA NDUDE!

NDIO,...
.... LAKINI na DOGO lichukuliwalo kuwa ni LA PILI,...
... labda ndilo lilianzia kwenye lile dogodogo lile LA MOJA  kikutambulika tu,...
.... kwa kuwa kiukweli labda dogo tokea mwanzo ni KUBWA!:-(

Swali:
  • Kwani unafikiri MAKUBWA hutokea ghafla tu  kwa kawaida?
  • Na katika DOGO si labda ni MTAZAMO wa MTU tu hasa kwa kuwa labda DOGO KWANGU ni KUBWA KWAKO?

Ndio,..
.... labda mpenda MAKUBWA agusagusaye DOGO ambalo laweza zaa MAKUBWA,...
.......huyo  kiaina hata kama atadai sio tafakari  zake dogo HILO  halikuwa lamkumbusha MAKUBWA....
..........yawezekana hata kuvutiwa kwake na dogo hilo  hata bila yeye kujua  ni kwa sababu DOGO hilo hata kama sio kiudogo wa kugusagusa  kiaina kuna kimstuacho  kuwa hapo  kuna lake apendalo kubwa  hata kama sio lile la KUSHIKASHIKA!:-(

Swali:
  • Unafikiri ukiangalia DOGO  hustukii kubwa kama dogo hilo UNAHISI   laelekea kuwa KUBWA?

Ndio,...
... na UWEPO wa  hamu ya kugusagusa KIKUBWA kwa mwenye DOGO,...
.... inawezekana ni kwa kuwa tu  kuna MAKUBWA  na pia kuna kishikikacho KIDOGO!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na si lazima ulielewe!:-(






Hebu Africando waanzishe upya ili tubadili mawazo kwa - Aicha



Africando waongezee dozi kwa - Sabador La Bamba




Africando wadinye - Gombo




Halafu hapahapa Senegali  Wasenegali hawa wa Africando wajaribu kuzima kwa - Yay Boy


Halafu tu BALOJI na Konono N°1 ghafla waturudishe KONGO na ndio wazime tena kwa-KARIBU YA BINTOU

Read more...

AFRIKA BAMBAATAA recklessly!

Hebu UB 40 na Afrika Bambaataa warudie tu kutonesha- Reckless





Na mie CHICHEMI sasa hivi ila  kama tamu muhimu,...
...labda  fanya iwe TAMUKUNOGA leo hata kama si ki-RECKLESS...!:-(


Tuko Pamoja na siku njema mkuu!

Read more...

Hebu USENGE utetewe kiduchu tena UGANDA!


... hebu tudake hii ndude,...
.....Uganda gay rights.....

...wakati FRANK MUGISHA kutoka UGANDA akinyambulisha haki hizi ambazo yasemekana kuna wengi wazibaniazo mapaja....




Swali:
  • Si nasikia kama tumizi la kinyeo ni la MTU mwingine kinyeo cha mwingine hata bila PENZI labda hilo swala sio dili lako utumbuaye kwa mbele?

Ni nanilii  tu hii alwatani KIHESHIMATU kabisaa!

Read more...

LEO baada ya Rais wa zamani wa PHILIPPINES yule GLORIA ARROYO kudakwa kwa wizi wa kura za mwaka 2007

>> Friday, November 18, 2011



Kama Mtanzania:
  • Unahisi ipo siku  mambo kama haya  ya kujaribu  kumuwajibisha kiongozi  baada ya  kuondoka madarakani yatakuja tokea BONGO?


Ndio,...
.... Rais Gloria Arroyo leo kadakwa tena akiwa anaumwa hospitalini  kisa  maswala ya wizi wa kura ya mwaka 2007 akiwa Rais.

Na kikubwa   kisa cha kudakwa kwake  wala hakuhusiani na kura zake mwenyewe kama Rais ,....
.... bali kwakuhusishwa na kuhusika kwake  katika kufanikisha mpambe wake anashinda kiti cha useneta kwa kufanikisha wizi wa kura za mpambe wake huyo.


HABARI zaidi HAPA

Swali tena kimarudio:
  • Unafikiri  ipo siku KATIBA YA BONGO itaruhusu  kuwajibishwa kwa watawala washirikio  kuhaini  nchi  baada ya wao kuondoka katika hatamu?

Nawaza tu kwa SAUTI!


Hebu tujaribu kubadili wazo kwa uchokozi kutoka kwa mtoto mzuri JOSEY PRISCILLE






Haya basi NIMEACHA MKUU!

Read more...

KOZI YA MAKOCHA WA NGUMI MKOA WA PWANI YAOTA MBAWA




Baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhuzuria kozi ya makocha iliyotarajia kuanza jumamosi ya kesho ata hivyo kozi hiyo iliota mbawa baada ya mkufuzi alieteuliwa na chama cha ngumi cha dunia (AIBA) kupata dharura kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC) iliota mbawa na kufanya makocha hao kutojua hatma yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoahidiwa katika barua ikiwemo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula ambavyo hawajapatiwa na kujitafutia usafiri kwa njia yao wenyewe kurudi mikoani kwao.

Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini (BFT), Michael Changalawe (kulia) akizungumza na makocha wa ngumi nchini wakati walipowasili, Kibaha Mkoa wa Pwani Juzi kwa ajili ya kozi ya mchezo huo na kuambiwa kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC)  imehairishwa kutokana na mkufuzi wake aliyeteulia kupata dharura . Hata hivyo, makocha hao kutoka mikoa mbalimbali ya nchi walinyimwa stahiki zao hususani maladhi na posho za nauli za kuwarudisha mikoani walikotoka na kupatiwa kwa makocha wachache tu kinyume na barua walizopewa makocha ya kuwa watalipiwa gharama zote za kwenda na kuwarudisha mikoani kwao.


Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania


Nimetumiwa taarifa na:
SUPER D

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP