RAIS yupo USIJAMBE!
>> Sunday, March 15, 2009
Labda,...
....HESHIMA ni kwenda KINYUME au nyuma na utakavyo kwenda mbele AU vya MBELE.
Ingawa,...
.... siongelei KIJAMBO cha mbele sasa hivi hapa ,...
...ILA....
kunauwezekano kuwa KWA heshima unajizuia kujamba kwa KUTUNZA heshima ya visivyo hitaji kuwa na UHUSIANO na NENO HESHIMA mbele KWA MBELE.NI...
... aibu wakati VYA AIBU haionekani VINATIA aibu KWA sababu TU wenye HESHIMA NA AIBU wanavipa KIPAUMBELE visivyo stahili heshima KWA HESHIMA na aibu.
Swali:
- AU?
- Unauhakika unamheshimu RAIS wakati yeye pia anajamba AU huna uhakika labda sasa hivi kajamba kiheshima na SI aibu?
- Unauhakika kujamba ni KITENDO au labda kuona aibu kwa kujamba HADHARANI au kisiri ndio KITENDO cha AIBU?
KWA heshima naacha hii topiki AMBAYO LABDA NI YA KIJINGA KAMA UNAUHAKIKA, ingawa labda haijanishinda BILA AIBU!
JUMATISA njema!
Hivi leo kunauwezekano sio jumamosi au ngojea nirudie kukuuliza kwa kisauti....
5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mh Simon:-( kazi kwelikweli haya bwana jpili njema
Kaka Simon Mkodo Kitururu,
Hakika sikuwezi kwa vijineno na vijimambo
Ama kweli hujatulia
DUH.....!!!!!!????????
@Dada Yasinta: Kazi kwelikweli:-(
Jumapili njema!:-)
@Dada Koero:DUH!
Nimerudi tena uliwaza nini kawimbo hako yaani umenifurahisha na nimekumbuka sana nilipokuwa mtoto na nimeanza kuimba na watoto wangu wamekapenda kawimbo kako.(ketu ka utotoni)
@Yasinta:Sikumbuki nilikuwa nawazanini ila nikumbukacho ni kwamba nilicho rekodi na nilichokuwa nafikiri kabla ya kurekodi vinatofautiana :-)
Sijui kwanini Dada YASINTA naanza kuhisi husomi mambo niliyo andika zamani!:-(
Post a Comment