Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la kutaka KUHAKIKISHIA watu wengine KITU chako!

>> Monday, December 14, 2009

Mengi ya MTU ayahangaikiayo ilikuhakikishia watu kitu ,....

.... ahitajiye kujihakikishia KITU HICHO ni yeye mwenyewe mhusika na WENGINE kwa kawaida HUWA HICHO kimkunacho mtu hakiwahusu.:-(




Swali:
  • Kama wewe ni MZURI kwani unahitaji tukuhakikishie kuwa mzuri kwa kukusifia UZURI WAKO?
  • Kama una MIAKILI SANA kwani unahitaji tukuhakikishie hilo ili uwe na uhakika wewe sio MJINGA?

Ni wazo tu hili na labda HALINA MBELE wala NYUMA!

Hebu WAYNE WONDER arudishe-Love & AFFECTION


Au tu FEMI KUTI alete-YOU BETTER ASK YOURSELF

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP