JAMBO LISILOKUHUSU likikutia NYEGE!:-(
>> Sunday, August 29, 2010
Ndio ,...
......mara nyingi kimtiacho nyege mtu ni ambacho sio chake,...
.......na INGAWA hata kama KINUNIA SHUGHULI kina upele wenye usaha,...
....hicho KIDUDE hata kama hakita kata makali baada ya kuonja AU KUONJWA labda bado MHESHIMIWA mwenye nyege kama kina mgusa ANGALAU MAWAZONI ,....
....labda hicho KINAMHUSU.:-(
.......na INGAWA hata kama KINUNIA SHUGHULI kina upele wenye usaha,...
....LABDA mwenye nyege KINUNACHO na KIKENUACHO kikitekenywa HATA KABLA YA SHUGHULI bado katika kupandisha JAZBA ya hamu ya utamu ya
MHESHIMIWA KINUKA MKOJO ,....
....labda hicho KINAMHUSU.:-(
Swali:
- Unafikiri UNAUHAKIKA kuna jambo lisilo KUHUSU ?
NI WAZO TU HILI Mheshimiwa BI Mkora!:-(
Hebu katika kubadili ndude tumsikilize mtoto wa NYERERE ambaye kwa jina ni ROSE -MARY NYERERE akijitetea kisomi....... na SAMAHANI kiswahili chake kinahitaji Kingereza katika baadhi ya pointi:-(
Au tu Kanda Bongo Man achokonoe kidude kwa -Cantique
Au tu Kanda Bongo Man arudishe mdinyo ajulikanao nao afrika kwa ndude-Wallow
Au tu Kanda Bongo Man aendelee kushusha uji mzito katika.......
Read more...