Kichwa cha kujivunia Afrika
@Mwanasosholojia: SI utani!Ananiua sana mambo zake huyu Mdada!
Kwa bahati mbaya kampyuta yangu imegoma siku hizi ki YOUTUBE sijui nifanye maandamano au nini!Lakini pua lake Dambisa Moyo kama langu! Labda ni ndugu kabisa!Jina lake kiboko (kwaKizulu "dambisa" maana yake "punguza")Kwahiyo: "Punguza moyo wako, Dada.. Punguza mwendo!!!!" (LOL!!!)
SI MCHEZO
Ubarikiwe,kaza buti Saikolojia si utani,utaweza kuishi na kila mwanajamii bila wasiwasi,kulingana ja saikolojia zao.'Thanks for joining to my Blog' na sema asante.
@Rasta Mcharia: :-)@Mkuu Sikapundwa Christian: Asante sana kwa kunitembelea! Kwako mie ni mwenyeji!
Post a Comment
© Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008
Back to TOP
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kichwa cha kujivunia Afrika
@Mwanasosholojia: SI utani!Ananiua sana mambo zake huyu Mdada!
Kwa bahati mbaya kampyuta yangu imegoma siku hizi ki YOUTUBE sijui nifanye maandamano au nini!
Lakini pua lake Dambisa Moyo kama langu! Labda ni ndugu kabisa!
Jina lake kiboko (kwaKizulu "dambisa" maana yake "punguza")
Kwahiyo: "Punguza moyo wako, Dada.. Punguza mwendo!!!!" (LOL!!!)
SI MCHEZO
Ubarikiwe,kaza buti Saikolojia si utani,utaweza kuishi na kila mwanajamii bila wasiwasi,kulingana ja saikolojia zao.
'Thanks for joining to my Blog' na sema asante.
@Rasta Mcharia: :-)
@Mkuu Sikapundwa Christian: Asante sana kwa kunitembelea! Kwako mie ni mwenyeji!
Post a Comment