Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika swala la -TUJIFUNZE UPUMBAVU na Simon Kitururu!:-(

>> Monday, April 25, 2011






Kuna werevu DUNIANI,...
.... ambao  uwerevu WAO huwa KIUEREVU WAO kwa kawaida hautafutwi sana CHANZO CHAKE,...
......hata kama ni kweli chanzo cha uerevu wa YOYOTE ufikiriaye ni MWEREVU labda ni UJINGA!:-(




Swali:
  • Kwani unaamini  UPUMBAVU kama tu UJINGA  unafundishika ?
  • Kwani werevu wa WEREVU silabda nikitu walichozailiwa nao tu hao WEREVU kwa kuwa labda kirahisi apatiaye UEREVU labda alikuwa MWEREVU kabla ya kujifunza UEREVU?

Na wakati kuna isemekanavyo kuwa kuna mtu amejifunza kwa KUIGA,....
... labda waigao HUIGA TU VIZURI vile vitu hata kama ni vya KIPUMBAVU kama tayari akilini walielemea tayari ki MRENGO huo wa walichoiga kukujifunza kabla hata HAWAJAIGA!:-(

Swali:
  • Unabisha?



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



HEBU  tu Mr DALE abadili zaidi kwa -Soca Junkie




Kabla  tu The soca boys hawajatuliza boli kwa -Follow the leader






2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 11:58 am  

Kama sisi kazi yetu ni kuelekea ufumbuzi ki-UPUMBAVU pekee kwa maendeleo ya labda haya ya jamii duniani kote, sisi ni muhimu kufahamu kwamba matendo yetu kuwa huwa na athari nyingi mbalimbali TUNAPOJIFUNZAGA.

Simon Kitururu 12:28 pm  

@Rasta Mcharia: Duh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP