Ili YULE MWINGINE mwenye tako SPONJI aonekane ni MTU MZURI ZAIDI kuliko WEWE au yule mwenye MATEGE !:-(
>> Saturday, April 23, 2011
Ndio,...
.... labda MIMI ni mtu MBAYA kuliko YULE,...
....labda!:-(
Swali:
- Si ili WENGINE waonekane ni WATU WAZURI - si inabidi LABDA sie WENGINE itabidi tuonekane TU hata kishingo upande kuwa ndio WABAYA hasa kwa kuwa HATA WEWE unafikiria tu SIE ndio wabaya?:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Dj MATAKO kutoka ANGOLA arudie tena HOUSE muziki katika jitihada ya kutubadilisha wazo hilo hapo juu NYOKO kwa NDUDEZ kutoka ANGOLA.....
Au tu tujifunze zaidi kuhusu BENDI fulani mwanana iitwayo STEEL PULSE kama asemavyo aipaye sauti uniki kwenye kipaza sauti David HINDS asemavyo...
David Hinds aanze kutuliza mtuno kwa -State of Emergency
Au tu arudie Biblia tena kwa -This version is NOT KING JAMES' version
Kabla ya DAVID HINDS kutuliza MBINYO kwa kubinya zaidi ndude iliyotuna kibiblia kwa- Chant a Psalm
Halafu wanajeshi waongelewe tu labda kwa -Soldiers...
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ngoja kwanza hasa ninavyofikiria "Ili YULE MWINGINE mwenye tako SPONJI aonekane ni MTU MZURI ZAIDI kuliko WEWE au yule mwenye MATEGE".
"Kuna kitu kinamfanya aonekane ni mzuri kwa BAADHI watakao msitukia labda kwa sababu ya MAPENGO yanayoonwa kama ni MWANYA kidizaini...!:-("
Ni yeye alie "KaTuNi" kumbe ameshikilia picha ukutani.
@Rasta Mcharia: Duh!
Mmmmh.
Kaaazi kwelikweli!!
Post a Comment