Kama unatumia AKILI;...
>> Sunday, April 17, 2011
.... labda DINI hazileti MAANA kiakili AISEE!
Swali :
- AU?
Na labda kama una AKILI,.....
....DINI labda ni kipimo cha AKILI aisee,...
... hasa kwa kuwa KIIMANI za DINI labda AKILI inaweza kuwa ndio iondoayo govi kwenye DINI aisee!:-(NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu The DOORS waanzishe upya KIJUMAPILIJUMAPILI kwa kudai-I'm Horny, I'm Stoned
AU tu hebu Mouse T arudie silabas kwa - Horny
7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kama unasmevyo mwenyewe :-Mmmhhh!
@Mrembo Yasinta: Mmmmmh!
No Comment!!!
@Yasinta: SI unajua ukiandika ``No comment´´ hiyo tayari ni Comment!
AU?
HAPANA NO COMMENT! Maana yake sitasema neno ingwa no comment ni maneno pia. Yaani maneno ya kufanyisha mada inoge...
KWANZA NANUKUU... hasa kwa kuwa KIIMANI za DINI labda AKILI inaweza kuwa ndio iondoayo govi kwenye DINI aisee!:-( MWISHO WA KUNUKUU.
Hivi umeunganishaje hapa.
@Mkuu Mcharia: Hata sijui Mkuu muungano umetokea wapi! Lakini si kwa aelewaye naongea nini labda ANAELEWA?:-(
Post a Comment