Kama MATATIZO yakitafsiri maana ya MAISHA kwa MTU,....
>> Wednesday, April 20, 2011
..... matatizo HAYO yakitatuliwa MTU anaweza kujikuta anaishi MAISHA yasiyoleta tena MAANA!:-(
Swali:
- AU?
Ndio,...
... kunauwezekano MATATIZO na kuhangaikanayo hayo MATATIZO,....
.....ndio kifanyacho kuna MAISHA ya mtu yana maana fulani na anaisubiria kesho kwa hamu kwa kuwa angalau kuna lakufanya lenye MAANA maishani.:-(Ni wazo tu hili MKUU!:-(
Tupate jazz kidogo kutoka kwa Dexter Gordon akimwaga kitu-Tanya
Au tu hebu tu Miles Davis na John Coltrane warudie - So What
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
SI UTANI:-(
@Yasinta: :-(
Na kwa aliyeondoa komenti yake: Tuko Pamoja!
Post a Comment