Mie kama KIONGOZI naapa kuendeleza UFISADI , umasikini , MAGONJWA na ikiwezekana hata USHIRIKINA na UJINGA kwa sana TU katika nchi hii nzuri TANZANIA!
>> Monday, April 11, 2011
Ujanja kwa KIONGOZI AFRIKA ,...
....inasemekana ni kulia OFISINI bwana!
Swali:
- Kwani hata kivitendo hujastukia hilo?
..... UMASIKINI ufanyao VIONGOZI matajiri kwa utajiri tu waonekane na baadhi ya MASIKINI kuwa ni wenye AKILI murua,....
....ushirikina ufanyavyo waheshimiwa WAHESHIMIWE na wafanye vitu KIJINGA kama,......
....na labda mpaka kuwa ni kweli DUNIANI kutokana na VIONGOZI WADHANIWAO ni WEREVU kwa hilo kuhadaa mpaka hata WAJINGA kama mimi SIMON KITURURU ku.......Swali:
- Kwani wewe kama KIONGOZI ufaidikaye na udhoofu wa WATU kiujinga au tu MAGONJWA , usingependa kuwa hata kwa wasio wasenge kuwa ni WAGONJWA au WAJINGA kiasi kwamba hata ukigusa tu kidogo katika kutekenya ndude kama tu BABU wa LOLIONDO wanatekenyeka?:-(
- Kwani unafikiri HUCHANGII angalau uwepo wa rushwa KIVYAKO na TANZANIA ingekuwa inalipa ilivyo sasa hivi KWAKO labda usingekuwa unataka ibadilike ili wajanja waongezeke na kusababisha ulaji kilaini uwe MGUMU?
.....DUNIANI kama kuna wajitahidio kuamini wao ni werevu na sio WAJINGA,...
.... labda huo ni ushahidi DUNIANI kuna WAJINGA na ya KIJINGA pia lakini!:-(
Swali:
- AU?
... labda ungeelewa nini ni TAMU,...
....ifanyayo VIBOSILE ambao ni fulu KUFAIDI,....
....wasione makorongo kwenye barabara upitazo ni TAMU kikongorongo,...
... kitu ambacho hapa nabunia tu kwa kuwa mie natokea kwenye tabaka zisizo na TAMU hizo za watawala na fujo hii yote ni ,....
...mie AYAMU JUST sayin'Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu TUCHEZE tu na ndude kwa msaada wa Jimmy Cliff tena akirudia- Many rivers to cross
AU tu LENNY KRAVITZ ajaribu kurudia MDINYO wa Jimmy CLiff huohuo....
Au tu tumpe chansi Ali Campbell ajaribu naye kurudia ndude ya Jimmy Cliff aliyoiandika na kuidinya mara ya kwanza ambayo ni .........
8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hiyo ahadi mkuu, ipo siku utaikumbuka, kwasababu....mh, cha mtu mavi! Na haki ya mtu haipotei bure...!
siku hizi hawa watu mafisi na chama lao wanatuona mabwege tu,na tunaongea sana.juzi tu yule mzee punda wa kulialia kaenda kuzindua zimamoto bajaj na tumbo lake kama pakacha.we ngoja tu iko siku yao hawa
Mtakatifu, ulishawahi kuisoma hadithi moja ya Kezilahabi inaitwa "Mayai Waziri wa Maradhi?"
Ina mambo kama haya haya unayoyaengelea hapa: Wizara ya Maradhi, wizara ya umasikini n.k...Itafute uisome na kwa kuwa Kezilahabi ni mwanafalsa mwenzako bila shaka utaifurahia sana !!!
What the hell is going on? And why? Why? Why?
Coul you please switch on your phone? Have been trying to call for hours :-( :-( :-(
If you think this is funny, you are so wrong :-(
@Mkuu M3:DUh! Siku nikiamua kuwa mwanasiasa nafikiri ntakuwa nishaua kitu!
Ila nachojaribu kuangali katika hoja ambayo niliiandika haraka haraka kutokana na kusikia mtu mmoja akisema haki ya nani kama wewe fisadi na mazingira ya sasa yanakufaidisha labda ni ujinga kubadili mfumo!
@Anony: SI ndio hapoo!
@Mkuu Masangu:Sikuwahi isoma hiyo. Ntaitafuta.
@Anony: Sorry that I wasnt connected for the weekend !Try again to reach me .... I'm back on air! Sorry again ! Never knew I am tha needed!
Post a Comment