MPENZI mwanana ,.... twende CHOONI kidogoTUKAFANYE basi!:-(
>> Sunday, April 17, 2011
MAISHANI ,...
.... kuna MAMBO mpaka ya kutafutia jina CHUMBA yani....
....na mambo mengine yenye jina hupewa CHUMBA!:-(
Swali:
- Si ki-CHUMBA inajulikana CHOONI labda huko sio CHOO kwa asalie chooni kama tu kwa hata AFANYAYE matusi chooni badala ya kwenda haja KUBWA wakati hasikii hata harufu za walio kojoa huko juzi ambazo ni zaidi ya KINUKA mkojo?
Ndio,...
....labda hata CHUMBA cha KULALA kwa aaminiye kwa kuwa kina KITANDA ,....
... hicho chumba KIKINYEWA mara kadhaa,...
... cha weza geuka CHOO aiseee!:-(
Swali:
- AU?
Na kuna wasiomkaribisha MPENZI wakienda chooni hata katika shughuli ya KUJAMBA tu yani ,...
... utafikiri wafichacho ni kweli MPENZI hajui kuwa choooni kuna KUNYA pia kama MPENZI kaenda KWA HILO kimahususi!:-(
Hebu tu Jocelyne Béroard kikubadili wazo NI CHOOO akune KIPELE kwa -Ti tak isi
AU tu hebu Jocelyne Béroard amalizie tu kutunisha ndude kwa -Siwo
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mamaaaaaaaa weeeee!! kaazi kwelikweli!!!
@Mrembo Yasinta: Natamani kweli maandishi uliyo weka yangekuwa ni sauti yako tamu!:-(
Babaaaaaaaaaa weeeeee!! Kaazi kwelikweli!
Unajua sijawahi kusikia mtu akisema Babaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeee. je wewe umewahi kusikia hii:-) kaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
@Mtoto mzuri Yasinta: Kwani unafikiri huko Sweden ambako WANAUME kwa WANAUME ruksa kuoana na mpaka kuwa na watoto hata wa kuadapti watoto wao wanaliaje ?
oh! hapo sikufikiria kabisaaaaaa. aiseeee...kaaaazi kwelikweli:-(
Eh!! hii nayo ndio hasa.
Usifikiri ninafikiri.
Kwa nini watu wanawaza.
Post a Comment