Tatizo la kutibu MATATIZO kwa pombe,....
>> Wednesday, April 20, 2011
....... kilaji kikiondoka akilini MATATIZO hubakia palepale!:-(
Swali:
- Si hilo hukumbukwa?
Na tatizo la kutibu matatizo kwa KULA,....
......kwa bahati mbaya njaa inamchezo wa kujirudiarudia na ALIYEKULA atasikia tu tena njaa hata kama matatizo hayako palepale!:-(Hebu tusikilize kidogo matatizo ya wengine....
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Nakuunga mkono kaka Kitururu umenena wangu!!!!!!!
@Dada Rachel: Tuko Pamoja!
Post a Comment