WAKATI naangalia MTU na kustukia kwa sana TITI LAKE limelala,....
>> Monday, April 18, 2011
.... labda kuna ya MUHIMU KWANGU nimesahau kuyapa UMUHIMU kimstukio kwa kuwa ,...
.... bado inawezekana TITI LA MTU hata kwangu na katika YANGU,......
....halina umuhimu kiasi hicho na wala halinihusu HILO!:-(
SWALI:
- SI katika yenye mwili mzima yenye kuongezewa na yale yasiyo na MWILI wala titi -kwa kuwa watu huweka umuhimu kwenye vitu vidogo vidogo ndio sababu makubwa yenye UMUHIMU yanarukwa kwa kuwa hayaangaliwi hayo?
- Kwani wakati unaangalia MTU huwa unamchezo wa kustukia nini zaidi?
Ndio,....
... labda ukistukia kitu katika ya MTU,...
.... jaribu kuangalia zaidi ili ustukie labda kuna cha zaidi katika huyohuyo mtu mwenye bonge la tako,...
.... kwa kuwa ni MTU labda huo niushahidi ana cha zaidi ya KIKOJOLEO ,...
...au tu kile UMFIKIRIACHO!:-(
.... kwa kuwa ni MTU labda huo niushahidi ana cha zaidi ya KIKOJOLEO ,...
...au tu kile UMFIKIRIACHO!:-(
Ndio,...
...hili ni wazo tu MHESHIMIWA!:
Hebu chapuchapu Mbaraka Mwinshehe adinye-Daktari Ni Mimi
Au tu CHIZI abadili kidogo kwa -Sana SANA
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mmmmh,mie nimepita kusalimia tuu.
Kaka umewaza sana!!!!!!Ujambo lakini?
Edna umesahau kusema "Kamwene/unogage" :-)
Hhaaaha Da yasinta:Simon atajulia wapi kinyalu?
hwezi kujua ndugu yangu:-)
@EDNA+ Rachel: Mie sijambo jamani Nyie je?
@Yasinta Kinyalu sijui jamani ila itabidi nijifunze maana.....!:-(
Post a Comment