Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BI KIDUDE!

>> Saturday, June 11, 2011

Namaindi sana mambo zake huyu BIBI!



Hebu atupe tena:
Suhuba Ya Dai



Au tu hebu aongelee tu na :

Muhogo wa Jangombe


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 4:55 pm  

Huyu bibi bado yupo tuu kwenye gemu mpaka kielelweke! hata nami ananikosha,kaka wa mimi Kitururu wimbo upi kati ya nyimbo zake unakukonga Moyo zaidi?

Simon Kitururu 2:24 am  

@Rachel : Kwa jinsi nimuhusuduvyo sijawahi hata kuchagua wimbo! Na udhaifu naye na akiniomba nimuoe nahisi ntashindwa kukataa!:-(

Rachel Siwa 7:19 pm  

hehehheehehehe kaka mimi kapata Mkeeeeeeee!!!!@Kitururu nijambo jema hilo atiiiii.Lakini huyu bibi anamaneno ndugu yangu sitaweza kuleta za uwifi hapo,atanichambua kama karanga kama si kunitungia wimbo kaka,waza mara2.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP