Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa NGUVU za NYONYO , paja au KALIO labda ni zilezile MILELE,....

>> Thursday, October 06, 2011

...... tatizo LABDA bado ni kwamba  yasemekana wenye TITI ,bomba la usafiri KIPAJA, goti ,MAGIMBI   au tu hata TAKO walewale,...
...... vifaa vyao hivyo vya mpaka  kudakia WAJANJA  KIJANJA hivyohivyo hunywea baada ya MUDA kabla ya milele KIBINADAMU ,...
... kwa kuwa eti kuna fununu hivyo NAVYO huwa haviishi milele KIKUNONA KIUNONO kama pale vilipowawezesha WARINGIAO UZURI kimaringo kutembea wakitingisha tako au chuchu bila sidilia KIUZURI  kwa kuwa hao bado ni BINADAMU.:-(


Swali:
  • SI yasemekana ingawa SANGARA wamo ila nao hao sangara kama perege HUFA ukifuatilia maisha yao hata kama si kimilele?
  • Na si UA  ZURI LA PENDEZA  nasikia  bado lamaisha mafupi hata LABDA hata ki-UA?

Ndio,...
.... MILELE kibinadamu LABDA  haiwezekani,...
... ndio maana stori za KIBINADAMU zenye MILELE labda kuna  WENYE BUSARA imebidi wasingizie katika  hizo hata kiramli kuhusika mpaka kwa MIUNGU ya kipedejee itoayo mpaka MABENZi ukitoa sadaka!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Angela Ferrao ajaribu KIANGOLA  kulainisha kwa - Wanga



Perola ajaribu KIANGOLA kuongezea - Omboio




B.M.F waingilie kati kwa kugusia ukristo kiswanglish kwa KIKENYA katika  - Njoo



Au tu B.M.F wajaribu kuzima ndude KIKENYA kikanisakanisa bado  kwa-I LIVE FOR YOU




Halafu PAPA SAN alie tu tena na kuturudisha mtaani huko KARIBIANI kwa - Maddy Maddy Cry


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP