Kiutambulisho zaidi: MAX UHURU HERIEL KITURURU!
Yeah!
Ndio,..
...ni MWANANGU wa kwanza wa KIUME ni mjuaye!
Na kama kuna mama watoto wangu MWINGINE ambaye sijui na MTOTO naye,...
.... NISTUE !:-)
Pamoja sana!
Read more...
Merry Xmas AISEE!
>> Monday, December 24, 2012
Don Carlos kumbushia ..Gimme Gimme Your Love
Halafu tu tena J Boog zima kwa- Gotta be STRONG
Lebo:
Angalizo
Na kwa SABABU!
>> Thursday, November 08, 2012
Na SABABU,...
... mara NYINGI,...
...ni za KUJITAFUTIA sababu TU!:-(
Swali:
- AU?
Ni wazo tu hili NGULI!
Read more...
Lebo:
UjingaBUSARA
MWISHO wa dansi hata DANSA mzuri hutoka STEJINI!
Na hata MLAJI mzuri PILAU ,...
... aking'ang'ania KULA sana kisa eti PILAU ni tamu,....
....LABDA atafanikiwa zaidi ya KUVIMBIWA....
....kiusumbufu ambao sio uletao tu CHOO kwa MHESHIMIWA!!!Swali :
- AU?
Na hata alaye sana kisa chakula ni KITAMU,...
... kuna kipimo chake tu ambacho atafikia ambacho TAMUTAMU kunoga hugeuka BUGHUDHA!
Swali:
- AU?
Ndio,....
....hata kama unajua KUNENGUA kinamnagani,...
... mwisho wa siku KUNENGUA sio starehe,...
... kama tu ulivyo utamu wa UCHI ukizidishiwa kupewa!Ni hilo tu,...
... na ni WAZO tu hili MHESHIMIWA!
Nipo lakini...:-(
Hebu Dr Dre arudie kukumbusha I have been there..and DONE THAT
Halafu sijui kwanini ila Gregory Isaacs ngojea aje tu TENA fulu....
Lebo:
UjingaBUSARA
LABDA.....
>> Sunday, November 04, 2012
...kwa asiyepotezaye MUDA sasa hivi,...
...labda HUYO muda wake WAJA kiwakatiwa BAADAYE tu!:-(
Swali:
- Si labda hupotezi MUDA kwa kunisoma KIUJINGA busara zangu ki WAKATI huu TU?:-(
- NA si asiyepoteza MUDA sasa hivi labda WAKATI wake waja tu akimaliza SWALA ,..... na kula,.... na mambo yake ahisiyo ni MUHIMU ?
Na WAKATI tuna poteza MUDA,...
.....kuna mengi labda ni LABDA tu kwa kuwa MUDA haupotei,...
...LABDA!!:-(
Na ni wazo tu hili NGULI!
Na nakutakia siku KIBONGE aisee MHESHIMIWA!
Hebu GARNET SILK aingilie kati.....
Ndio,...
...NIPO aisee!:-(
Read more...
Lebo:
UjingaBUSARA
Wakati NJEMBA inahangaikia KUJUA ambayo hayatamsaidia KITU !
>> Friday, November 02, 2012
Wakati MTU anahangaikia KUJUA yasiyomsaidia ,...
.... kuna uwezekano,...
...yahangaikiwayo sana ndiyo YASIYO na MSAADA sana kwa MTU!
Swali:
- AU?
- SI kuna UWEZEKANO kwa kuangaikia kujua sana BAADHI ya vitu ndio sababu kubwa ya MTU kuruka kujua MENGINE hata ki ni kiainagani kwake ni MSAADA?
- Na si KUNA UWEZEKANO asilimia KUBWA ya usiyoyahangaikia NDIO yakuwekayo sawa leo hii hata weye bila KUJUA?
Ndio,...
.... LABDA mengi yakuvutiayo kama tu UTAKAYO SANA kuyajua,...
.....kama tu yale yapewayo umuhimu kama UZURI wa MAPAJA kwa mpenda mapaja ambaye ahitajicho KIMALENGO ni mtu apate UJAUZITO,...
....labda MICHANGO yake ni DHAIFU kiumuhimu wa ili MALENGO ya mimba yatimilike,...
... na hapa siongelei tu yale malengo ya ili mtu apate mimba ambapo labda paja halihusiki kihivyo kuliko sehemu za siri na viungo vyake vya uzazi ambavyo si makalio wala paja,....
..... au tu KAMA nguo za mtu safi akiwa na BIBLIA au KORANI yake KANISANI au MSKITINI vilivyo DHAIFU kama roho na ya kiroho HAYAJAANDALIWA kupokea ufunuo wa ya yakiroho ili ya KIROHO yatimilike.
Swali:
- SI unajua labda kuipa kipaumbele BIBLIA au KORANI hata kwa MKRISTO au MUISLAMU bila kuandaa ukunjufu wa MOYO labda ni kujiangaisha kujua ambayo mwisho wa siku hayatamsaidia muungwana katika swala zima la kuweza kuifikia MBINGUNI kwa kuikodolea macho ?
Ndio,...
.... labda kuna vigezo vitusababishavyo kujikuta kuna mambo twayapa KIPAUMBELE katika kutaka kuyajua,...
... na hapa siongelei tu yale ambayo hayatusaidii KITU kama YALE ya kutaka kujua :
- Hivi sijui SIMON KITURURU katukana tena hadharani LEO kimaandishi?
- Hivi sijui ni kweli MKE wa Mheshimiwa matako yake ni ya fulu Mchina kama NYONYO zilivyo?
- Hivi sijui Rais Kikwete ananunuliaga wapi chupi?
- Hivi fulani kala nini?
... au tu yale MENGINE mengi ambayo kwa kweli HAYATUSAIDII zaidi ya kutupotezea MUDA.
Ila swali:
- Hivi unadhani MTU anaweza kupoteza MUDA kweli?
- Si asiyepoteza Muda SASA hivi ,huyo atapoteza tu MUDA BAAADAYE wakati wake ukifika?
- Kwani unafikiri asiyepoteza MUDA anafanya nini la maana ambalo lamfanya kila MUDA afanyalo LIWE ni la MAANA TU na halipotezi muda wa huyohuyo kufanya jambo jingine MUHIMU zaidi?
Ndio,...
.... labda wakati jamaa linahangaika KUJUA,...
.....lapoteza MUDA wa kulala au hata NGONO ambayo kwa wakati huo ingekuwa na UMUHIMU wake zaidi kuliko KUSOLVU mahesabu ambayo kwa BIASHARA yake ya NGURUKA hayatamsaidia kitu katika KUUJAZA ulimwengu ,...
..au hata wala haitamtuliza mawazo kipumziko liletwalo na KULALA.:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na ni RUKSA kutolielewa!!
Nakutakia SIKU MWANANA sana tu AISEE!
Hebu Arrested Development warudishe-Everyday People
Arrested Development waongeze kidogo dozi kwa- Mr. Wendal
Ghafla Mark Morrison aingilie kati kwa - Return of the Mack
Planet Digable wajaribu kuzima kwa-Rebirth Of Slick (Cool Like Dat)
Halafu Genuwine ndio azime kwa- PONY
Lebo:
UjingaBUSARA
Unaweza KUISHI maisha yako yote....
>> Monday, October 29, 2012
... ukiogopa waWATU,...
.... hata kwa kisingizio cha KUJIHESHIMU!
Swali:
- AU?
- Hivi unajiheshimu au UNAOGOPA watu?
Ndio,...
...kuna KUJIHESHIMU,...
... na kunakuogopa WATU watakufikiriaje,...
....ingawa labda WATU watakufikiria kivyaovyao tu kitofauti kutokana na tofauti zao,...
.... hata ufanyejeNi hilo tu!
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu Aretha Franklin arudie- Respect
Read more...
Lebo:
UjingaBUSARA
Wakati YALILIWAYO LABDA hayako UCHI hivyo!
KUNA vililiwavyo kwa FURAHA lakini,...
.... WAZIWAZI aisee ,...
...hata kama ni KWA kikusengenya MAREHEMU msibani!:-(Swali:
- AU?
Na KULIA kunahitaji NGUVU ya kulia,...
... kwa hiyo labda aliaye,..
... huyo hata kishibe,...
... ananguvu,..
... hata kama kipindi hiyo,...
... Nguvu yake ni ya kulia tu ,...
... na hata kama mlio WENYEWE huo sio ule wa kusikilizia UTAMU.:-(
Ni hilo tu!
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Ni kweli NIPO...
Hebu BARON aongeleee...-Mother Earth is Crying
YEAH.......
...hebu King Masco arudie - Mao Mao
Lebo:
UjingaBUSARA
Kama siri ni KUNYOLEWA mavuzi!
Mavuzi ,...
.. ni siri itoshayo KIMAISHA aisee!
Swali :
- AU?
Na kama siri ifichukayo ni ile ya mtu KIMAISHA,...
... kanyolewa MAVUZI,...
... labda MAVUZI tuongeleayo ni NYWELE!:-(Swali:
- Unaelewa?
Na KIMAISHA,...
.... nywelenywele ziko kila MAHALI,...
... na saaa nyingine ujanja ni kujua hata nywelenywele za KWAPA zina kazi gani KIMAISHA!:-(
Swali:
- AU?
Ndio,...
.... MAVUZI ni NYWELE kama mahali NYWELEzilipo hata KIMAISHA,..
sio UCHINI!:-(Swali:
- AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!
JUMATATU NJEMA Mjanja!
Hebu tu rudi HONDURAS ili NURU arudishe -Bunabou
Halafu hapa hapa HONDURAS hebu NURU aongezee-Bounile
Turudi TANZANIA ili NURU atulize kwa mpya ile-CHAPA LAPA
Lebo:
UjingaBUSARA
Kwa MUNGU wa WAISLAMU na yule MUNGU wa WAKRISTO wa TANZANIA!
>> Wednesday, October 24, 2012
Nimatumaini yangu unadeku situesheni aisee!
Na MAPENZI yako YATIMIE,...
... hata kama inaelekea ,...
... hivi karibuni,...
...tutastukia wala hatukuhitaji UZAZI wa MPANGO,...
...kwa jinsi tutakavyo PUKUTISHANA kukutetea na MIGUVU yako!
Ni kamtazamo kangu tu,..
.. na kama nimekosea bado kiduchu ..:
- Kusameheana bado imo?
- Si unacheki CHUKI inavyojengeka kwa kisingizio cha WATU kujipendekeza kwako?
Ni hilo tu na ni WAZO tu HILI!!:-(
Read more...
Lebo:
UjingaBUSARA
Subiria ANDAZI!
>> Monday, October 15, 2012
Ila kumbuka tu ...
.....asubiriaye sana Maandazi,...
........ anaweza kirahisi kujikuta kaonja Kitumbua!:-(
Swali:
- AU?
Na katika kusubiria,...
...DAKIKA hugeuka SAA kimsikilizio!
Swali:- AU?
Subiria lakini,...
.... kwa kuwa ASUBIRIAYE wali,...
.... YASEMEKANA hata ubwabwa ambao haujaiva kwake unakuwa MTAMU sana tu!
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Nakutakia Jumatatu NJEMA NGULI!
Hebu Lionel Richie aingilie kati kwa- Stuck on YOU
Kidum arudishe -Haturudi nyuma
Read more...
Stivu na Damiani walete tena historia kwa-Catch a FIRE
Halafu sijui kwanini ...
....ila hebu tu Bob Marley azime tu...
....kwa kuweka orijino -SLAVE DRIVER
Lebo:
UjingaBUSARA
Subscribe to:
Posts (Atom)