Enzi fulani ,...
...eti hawa walikuwa ni MAMA, BABA na MIMI!:-(
Hebu ghafla THEM MUSHROOMS waingilie kati kwa-MTOTO SI NGUO
SNOW aingilie kati kwa
-Lonely Monday Morning
Halafu SNOW ajaribu kuzima kwa -Informer
Ila tu
Naughty by NATURE ndio wazime kwa
-FEEL me FLOW
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hahahahaa.. safi sana Mtakatifu, inaonyesha ulidekezwa sana Kitururu...
Simon! usemapo "eti hawa walikuwa ni MAMA, BABA na MIMI!:-(" je? kwani sasa sio ninyi? Picha hii ni kumbukumbu moja nzuri sana ambayo wengine hatuna. Halafu Kadoda umefanana kweli na mama:-) kweli watu tumetoka mbali....
Ya kale ni dhahabu asante Kakake Kitururu!!!
@Ilikuwa FULU kufinywa!@Mwanawane Mija SHIJA
@Kadala Yasinta:Mmmmh!
@Dada wa MIMI Rachel: Ndio hapooo!
Post a Comment