Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Shenzi MIMBA,... kwa MCHEZO wa kufichua kwa UHAKIKA nusu tu ya wafanyao NGONO!

>> Friday, August 24, 2012

Ndio,....
.... MWANAUME unaweza kana MIMBA si yako AISEE!:-(


Swali:

  • Si abebaye MIMBA ni MWANAMKE?
  • Si kabla ya ushahidi Mwanamume yoyote aweza kudai ni BIKIRA?


Na,....
.... kama weye ni KIDUME,....
....na  huna heshima kwa WANAWAKE ,...
....``SHAME on YOU!´´ mpaka kwa Kiluguru!


Ni wazo tu hili BINGWA!
Ijumaa NA Wikiendi NJEMA Nguli!

Hebu Fu-Schnickens na Shaquille O'Neal warudie-What's Up Doc?

 


Onyx  wabonyeze tena kwa- Slam

   

 Onyx tena wa -Slam Harder


   


 Halafu tu Lost Boyz wazime kwa - Love, Peace And Nappiness

Read more...

Usidharau CHUPI kwa kuwa tu BUGALUU lako linavalika bila CHUPI!

>> Thursday, August 23, 2012

Ndio,.... 
... kuna yanayoweza kurukwa MAISHANI,...
 .... lakini LABDA haina maana kwa kuwa HAYO  yanarukika,... 
.... basi YADHARAULIWE kwa kuwa hayo sio MAHITAJI yako!


 Swali:

  •  AU? 


 Ndio,...
 ... kuna uyarukayo,... 
... ingawa labda ni ya muhimu kwa usiyeweza KUMRUKA,...
... ambaye HUYO  ni muhimu kwako hata kama ni kwa kuwa  ni ,...
 ... ambaye kwa ya YAKO ni MUHIMU.:-(

 Ni wazo tu hili NGULI! 

 Hebu Krosfyah Feat. Edwin Yearwood warudie - Sweatin

 


 Krosfyah waongezee- Wet Me


   


 Krosfyah warudie-Sak passe


 



Halafu Krosfyah wazime tu tena kwa - Pump me up







Nipo....
... na Beenie Man alikuwapo KIKAONI aaaiseeeh!:-(
















































Read more...

Poleni ETHIOPIA!

>> Tuesday, August 21, 2012

Read more...

Kama UMECHACHA wakati wa SIKUKUU, ugua ili ubane MATUMIZI!

>> Monday, August 20, 2012

Sikukuu GHALI,...
...na kama ilivyowahi kunenwa:

``AMA kweli eeh, MARADHI yote ugua ,lakini kuchacha USIOMBEEE!´´


Swali:

  • Kwani unafikiri sherehe za EID sio ghali?


Haya tuanze kupona jama,...
.... sherehe imeisha!:-) 
Ni uchokozi tu huu MHESHIMIWA!
Hebu Andrew Ashimba aingilie kwa nyundo- Mwanadamu

   


 Andrew Ashimba aongelee -MAISHA



 Halafu huyuhuyu Andrew Ashimba azime kwa-Weka Mambo

 

Read more...

MWONGOZO KUHUSU UTARATIBU WA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUSHIRIKI KUTOA MAONI YAO KUHUSU UPATIKANAJ​I WA KATIBA MPYA

>> Friday, August 17, 2012


Wakuu,

Tafadhali tembeleeni link kupata mwongozo:







Rgds

Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street,
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

Read more...

Wakati nguvu ihitajikayo ni ya SODA, kutumia NGUVU ya SEMENTI labda ni matumizi mabaya ya NGUVU aisee!

>> Monday, August 13, 2012

Na  LABDA tishika na NGUVU za SODA,...
 .... kwa kuwa kuna yatoshelezwayo kikuharibika kwa NGUVU za SODA tu! 



 Swali: 

  • Na nguvu za wengine siye si zasemekana ni za SODA tu kwa kuwa kuna wafikiriao ni nguvu KIBONDE kwa kuwa wanafikiria yahitajiyo NGUVU ZA SODA kinguvu za ZEGE hata ambapo ZEGE haihitajiki? 




 Ndio,....
 ... ukicheza na NGUVU za SODA,...
 .... kuwa muangalifu kama uchezealo ,...
.....KISODA tu latosha KUHARIBIKA hata kama sio KIMIMBA!



 Ni wazo tu hili NGULI! 





 Hebu turudi Brazil ili Mestre Valu aongeleee - África

   


 Mestre Valu aongezee - Toda Família

   



 Gilberto Gil azime kwa -Aquele Abraco


 

Read more...

WAKATI tunasubiria mtoto akue ili iwe halali katika JAMII kumtoa BIKIRA!

Na kuna yasubiriwayo,...
... hata kama hayana BIKIRA na sio ya MTOTO lakini!
Swali:

  • AU?


Na kumbuka kuwa,...
.. yasemekana BIKIRA haikui AISEE!:-(

NI hilo tu MHESHIMIWA!
Jumatatu njema aisee weye NGULI aiseee !




Hebu tubadili kwa msaada wa 2PAC akidai-How DO U WANT it

   


 Au tu 2PAC azime kwa-Shorty Wanna Be A Thug

 

Nipo...!:-(


















Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP