Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI!

>> Monday, March 16, 2009

LABDA nimekosea badala ya KUPATIA!:-(

KWA kufanya labda NINAHATIA!

KWA ujinga , werevu kiuno mauno HAKIJANIKATIKIA!


KWA ujinga naona NAPATIA!




KWA werevu wajua ni ujinga NINAPATIA!

NA kujitetea kwangu kwa ya ujinga ni HATIA!

NISAMEHE kama NINAHATIA!

INGAWA samahani yaweza geuka mazoea kwa mwenye HATIA!


SAMAHANI!


--------------______________________------------------------------


Swali:

  • Hivi unahitaji kufikiria jinsi ya kuomba msamaha kama unahatia?


Pumzika kwa kuangalia tofauti ya WANAWAKE na WENYEUUME.....



Au tu Teitur aimbe - Louis Louis

Read more...

SITAKI kufumba macho NISIJE kukuona uko UCHI bure!:-(

>> Sunday, March 15, 2009

KATIKA...
... IMAJINESHENI za NCHI NZURI, unaweza kumuona MPAKA MWANAMKE mzuri wa KIAFGANISTANI mwenye USHUNGI na kusahau utajiri wake wa TITI KUBWA lenye CHUCHU PANA.


Na,...
.... kwa mpenda sana matako KUNA uwezekano asigundue UMEPAKA WANJA na unakucha ndefu kwenye vidole shujaa hata katika kushikilia NANIHII.:-(


Swali:

  • Unauhakika TANZANIA ni nzuri kuliko NAIROBI?
Na,...
....wakati tuko KIGOMA kumbuka ukifumba macho unaweza KUAMINI uko DAR-es-SALAAM.

Swali:

  • AU?

NIMEACHA!

Ngojea tupumzike kwa kumsikiliza TITI kutoka Senegal...


Au tu Koffi Olomide aongee kichina kwa waswahili wasiojua kifaransa katika...- Ultimatum

Read more...

RAIS yupo USIJAMBE!

Labda,...
....HESHIMA ni kwenda KINYUME au nyuma na utakavyo kwenda mbele AU vya MBELE.

Ingawa,...
.... siongelei KIJAMBO cha mbele sasa hivi hapa ,...

...ILA....
kunauwezekano kuwa KWA heshima unajizuia kujamba kwa KUTUNZA heshima ya visivyo hitaji kuwa na UHUSIANO na NENO HESHIMA mbele KWA MBELE.


NI...
... aibu wakati VYA AIBU haionekani VINATIA aibu KWA sababu TU wenye HESHIMA NA AIBU wanavipa KIPAUMBELE visivyo stahili heshima KWA HESHIMA na aibu.

Swali:
  • AU?

  • Unauhakika unamheshimu RAIS wakati yeye pia anajamba AU huna uhakika labda sasa hivi kajamba kiheshima na SI aibu?
  • Unauhakika kujamba ni KITENDO au labda kuona aibu kwa kujamba HADHARANI au kisiri ndio KITENDO cha AIBU?

KWA heshima naacha hii topiki AMBAYO LABDA NI YA KIJINGA KAMA UNAUHAKIKA, ingawa labda haijanishinda BILA AIBU!


JUMATISA njema!

Hivi leo kunauwezekano sio jumamosi au ngojea nirudie kukuuliza kwa kisauti....





Au nikukumbushe TENA kawimbo...




Au tu...




Kuna adaio aliye kwenye PICHA kuwa nilikuwaPOA ZAIDI miaka fulani ILIYOPITA wakati wa picha hizi BAADA ya hii sentensi ya KIJINGA, ingawa najaribu kujitetea sijabadilika bado ingawa siku hizi ni kweli nataka kumpa mimba mtu kama kuna mwenye huruma bila kumpiga PICHA :-(










































































































































































































































































Ngojea I-Wayne anikumbushe katika - Cant SATISFY her


Au turudi tu tena nyumbani kwa ALI KIBA azungumzie- NAKSH naksh MREMBO...

Read more...

Jamani JAMANI shemeji KULA jamani![sentensi hii imebaniwa pua]:-(

>> Saturday, March 14, 2009

Kabla WIFI hajala,.....

Swali:

  • Unakumbuka uwezekano wa asiye wako ni SHEMEJI yako?

Pamoja na ya NDUGU na JAMAA,...
.....labda.....
ni kweli binadamu wote ni NDUGU.


Kumbuka lakini kuwa WIFI haitwi wifi tu bila ukweli kuwa wamuitao wifi wanajua au kuhisi kuna kitu wasichoonja ANAKULA.



Na,...
....ni kweli SI lazima wakati
....SHEMEJI....
hajala, kuna ukweli SHEMEJI alitaka KULA.


Swali:

  • AU?

  • Unauhakika katika dunia ya leo ni kweli wifi ni MWANAMKE?

Nimeacha!
WikiENDI NJema!

Tupumzike kwa kuthibitishiwa kuwa RAIS KIBAKI ana mke mmoja.


Au tu Q-Tip na kundi zima la Tribe called Quest watuulize -Can i KICK IT

Au tu watukumbushe -We've got the JAZZ


Asanteni WADAU wote ambao hamkunitenga juzi ya jana ambao baadhi ni hawa katika picha nilizofanikiwa kuzidaka na kudakwa...



Photobucket



Photobucket

Photobucket


Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket

Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket



Photobucket

Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket

Papaa Aliko Mwakanjuki a.k.a Dj Altunes ASANTE!

Read more...

Pamoja na yote BADO mdomo unauhusiano na TOBO!:-(

>> Thursday, March 12, 2009

Katika kurudia kuunganisha mahusiano ya vitu,....

labda......:-)...loves....:-(


...... sababu za kuweka MLENDA kwenye mdomo ni kulenga TUMBO na labda NIA ni kuufikisha tumboni , ingawa labda mdomo ni tobo la tumbo kama hujaziba TOBO.

Kinyeo pia ni USHAHIDI wakuwa TUMBO limetoboka, INGAWA unaweza kuendelea kubabaishwa na SIMULIZI za UTUMBO ukasahau uhusiano wa kinyeo na tumbo wakati tunazungumzia UMARIDADI wa KOO kabla ya TUMBO.

SIKUBISHII ukinibishia lakini!


Pamoja na yote,...
.....VITU karibu vyote vinauhusiano kama tu MIMI na WEWE ukiviangalia hata bila UMAKINI.

Swali:
  • Unakumbuka WEWE na MIMI tunahusiana?

Tatizo ni,...
.... katika vilivyotoboka, ni mpaka uwe na mtazamo au TABIA ya kuliangalia tobo na kuanza kufikiria uwezekano wa labda tobo LIMETOBOKA , iliKUGUNDUA labda si kweli kinyeo na mdomo vyote VIMETOBOKA katika huu uhusiano wa haya MAHUSIANO.:-(

Tatizo ni,...
....wakati unaulengesha mlenda kwenye TOBO la tumbo ,ni tatizo kama HUKUMBUKI kilengwacho na yote MARINGO na madahiro ya mlenda si tumbo bali AFYA YA MWILI.


NAACHA!
Kumbuka nawaza tu hapa na nakutakia kila la kheri chooni leo!

Siku Njema!


Swali:

  • Huwa unakumbuka kuangalia mahusiano ya UHUSIANO wa HIKI na KILE?
  • Unauhakika hujasoma ujinga PEKEE kama umefikia KUSOMA mpaka kwenye sentensi hii hasa kama HUWA huoni uhusiano wa ujinga na akili ?

Ngojea Manu Dibango abadilishe tena hali ya hewa katika-SOUL MAKOSSA

Au tu Manu Dibango alete za -Miss Cavasha

Read more...

Katika KUTETEA SURA nzuri isiyo na CHUNUSI isiyokumbukwa SURA!

Kumbuka....
...... hata kinyeo kina SURA wakati unafikiria SURA.

Na kwa kuangalia picha kubwa unaweza usiione SURA YA CHUNUSI kwenye SURA.

Lakini,...
.... SURA yenye chunusi .....

.....BADO ....
INAchunusi HATA kama AJALIYE MADOGO kwenye USO haoni ndita za chunusi kwenye SURA.

Unaweza kutetea uso kwa kusisitizia udhaifu wa kudumu kwa CHUNUSI kwenye SURA lakini!:-(

Kumbuka tu kutosahau kuwa,....
.... CHUNUSI nayo ina SURA.

Na,...
.. uso mzuri labda ulikuwa na CHUNUSI yenye SURA NZURI tu!:-(

Swali:
  • Ushawahi kujiuliza ugumu wa kutunza chunusi ibakie usoni?
----------___________________-----------------------------------

Nimeacha!
Kumbuka nawaza tu!


Ngojea Naughty by Nature watukumbushe- OPP

Au tu Fresh Jumbe aturudishe nyumbani katika -AMA ZAKE AMA ZANGU

Read more...

ANA macho, ngozi...na ulimi na KUKUPENDA kwa KUGUNA au MLIO!

Labda ni aibu KUKIRI,...
... udhaifu wa binadamu katika hisia mia ikiwa moja KASHIKILIA.


Labda ni aibu KUKIRI,...
.. kama mwenyemacho atumia dira ya mguno na kilio UKILIA.


Kwa maumivu au utamu katika KIKIRI,...
.....kakara maungo-tikisa na atahakiki ukiguna au KULIA.

Macho yanaona meno kama NGIRI,...
na ukikaa kimya hajui kapatia kama huguni au KULIA.


Ahitaji masikio kwa kuhakikisha yaonekanayo FIKIRI,...
... na wakati aonja kwa ngozi akiguna na KULIA.


Na mengi ya kuhudhunisha yapo FIKIRI,...
... na mengi wayaona ingawa wameacha kuguna na KULIA.


Labda bado watu wanahisia zote na watumia moja NAFIKIRI,...
....sababu za mengi ya kushoto bado yako kushoto na si KULIA.

Kama unagusa , kuonja,...na wasikia FIKIRI,...
.....wadhani si udhaifu ukitaka mpaka uone chozi ndio ujue mtu ANALIA?

-------------------------_________________________----------------------------


Nawaza tu USITISHIKE!
Swali:
  • Bado unafikiri unahitaji masikio uwenauhakika na unachoona kama macho yanaona?
  • Unafikiri unaona kwakua una macho na ulimi haukusaidii kuona kwa kuonja ukitaka kujua?


Naacha!
Namuachia Dr Alimantado katika -Best dressed chicken in town

Au tu Linton Kwesi Johnson azungumzie ya - Want Fi Goh Rave

Read more...

MBOLEA!

>> Wednesday, March 11, 2009

Labda ukiinusa inanuka,...
..... na ukiilamba ni SUMU.


Mimea huhitajika,....
....kwa mbolea kujisikia ina maana na si SUMU.


Akili zako hazina mpango kama mbolea zisipotumika,...
.... kama hazitumiki kumea hata kama mmea hauhitaji SUMU.


Na kama UBONGO usiotumika,...
....mbolea isiyotumika ni SUMU.


Mbolea!

.....labda UKIINUSA inanuka,....
.......................na ukiilamba ni SUMU.

Hata kama inatumika,....
.....ukiizidisha bado ni SUMU:-(

-----------------------------------------________________--------------

Nawaza tu usitishike!

Siku Njema!

Tutulie na kazi za mwanamuziki nipendaye kazi zake tokea enzi za Tony Toni Tone, Lucy Pearl na hata akiwa solo kwa jina Raphael Saadiq.
Hapa nimuache Raphael Saadiq,akiwa na Ali Shaheed Muhammad na Dawn Robinson.
katika...kibao....-without U

Au tu niiache kazi yake nyingine akiwa katika Lucy Pearl , kibao cha akinadada kusutana- Don't Mess With My Man

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP