Samahani kwa kupotea!
>> Wednesday, March 14, 2007
Samahani unajua tena nimebanwa kinamna .Nimekosa nafasi ya kublogu kinamna.
Lakini mimi, Mtimkubwa,Aliko na Dr Chiwalala , tunaanzisha blogu ya sanaa na wasanii wa Tanzania hivi karibuni....
Duh!Kama hutujui...
Mtimkubwa
tra
Aliko aka Altune
Simon. Duh!Sijui kwanini ninajina la Kizungu!Silibadili lakini:-)
Samahani! Dr Chiwalala picha yake inakosekana hapa leo.
Lakini nisikilize basi....
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Why did you have to put that ugly one? :DDD
@Sini. That is one cute photo of U in my opinion.
Why are you advertising tobacco?
@Mwandani:Sikustukia hichokitu mpaka ulivyosema. Lakini nafikiri unakumbuka kuwa mimi sivuti chochote chenye moshi
Nakubaliana na Mwandani,
Tumbaku imetangazwa kwa sana hapa.
Labda anataka kutukataza tusivute wengine.
Tumbaku ni mbaya
Post a Comment