JUMA-PILI!
>> Sunday, February 18, 2007
Hivi huyu JUMA ni nani?
Hivi kwanini baada ya jumatano anatengwa?
Hivi ana undugu na Alhamisi?
Hivi huyu Alhamisi ni nani?
Anaundugu na Ijumaa?
Lakini kabla sijaendelea kusema ngojea nimuachie Lionel Richie aseme....
Halafu ......
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kitururu!
Hapa kuna falsafa imefichama.
Ila katika hii lugha yetu ya kiswahili, neno juma ni sawa na neno week. Kwa maana hiyo jumamosi ni sawa na kusema siku ya kwanza ya juma.
@Mtanzania: mmh!Nakukubalia!
Post a Comment