Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tanzania

>> Friday, February 02, 2007

Iko siku jina hili litakuwa likihusianishwa na mafanikio!
Lakini mpaka siku hiyo ni mimi na wewe tunaohitajika kubadili watu wafikiriavyo kuhusu Tanzania.Inabidi tujaribu kubadili mambo .La sivyo ni hawa hapa chini watakaoendeleza mitazamo ya watu kuhusu Tanzania.
Hebu angalia kazi aliyopelekewa Mr Loewestern




Afadhali na hii.....


Itakuwafuraha ikifikia siku ambayo ilikuitangaza Tanzania haitahitaji tuzungumzie wanyama na Mlima Kilimanjaro kama vigezo muhimu kuliko vyote.

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

MTANZANIA. 3:28 am  

Nimeipenda changamoto uliyoitoa kuhusu namna ya kuitangaza nchi yetu. Kwa kweli ni jukumu letu na inabidi tulivalie njuga hili suala. Watani zetu wameanza kuudanganya ulimwengu ya kwamba kiswahili pia ni lugha yao.Hii ni hatari.Anyway nikiwa nimejiunga na fani hii napita kwenu wakongwe kujitambulisha na pia kuwakaribisha katika ka-uwanja kangu. Karibu sana bwana Kitururu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP