Maswala ya Kusubiri!
>> Wednesday, July 11, 2007
Kusubiri nishai!
Kwasababu , wakati unasubiri unajua au unahisi umsubirio anafanya mambo fulani ambayo kwako si muhimu au si... ambavyo ungetumia mda wako mchache. Ila pamoja nakua, kwako si muhimu kuna wengine ni muhimu mambo fulani.
Samahani kidogo....!
Sasa.......
mimi kama Katibu wa Jumuwata , ingawa siongei hapa ofishali, ni kwamba subirini kidogo.
JUMUWATA itakuwa baaabu kubwa, SUBIRI KIDOGO!
Ngojea nikwambie kwa sauti...
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
huu ujumbe unamgusa mtu fulani au nimtaje jina?
Nimwanablogu kwa jina la RASTA Luhamu,hapa umemgusa.
peter.
hongera katibu.sasa kazi au sio?
Kazi tu , naona nimeongea vyakutosha.
Post a Comment