Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Vitu Nane Msivyovijua kuhusu mimi.

>> Tuesday, July 24, 2007

Duh!
Serina kanitagi......
Maswala ya kujieleza haya lakini.
Basi ngojea niseme.
Manane msiyojua kuhusu mimi ni:

1.Katika mitihani yangu yote shuleni, nilichowahi kufeli ni somo la lugha ya kiswahili.
2.Ningependa kuwa mrefu zaidi ya nilivyo.
3.Sipendi kunywa maziwa
4.Sipendi kusherehekea birthdays
5.I talk too much, ingawa nasifa ya ukimya.
6. Siamini katika dini yoyote, ingawa naamini Mungu
7.Mvivu kula
8.Mvivu kupanga nguo kabatini.

.......
Kuna mengi watu hawajui kuhusu mimi ingawa wanahisi wanajua.Naweza kuendelea mpaka kesho kutwa......:-)

Watu wanane naowatagi , watujulishe vitu nane tusivyojua ni:
1.Bwaya

2.Egdio.

3.Araway

4. Innocent

5.Sandra

6.Jeff

7.Chediel

8.Che

10 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 7:34 am  

Hapa Serina kaniacha hoi.

Anonymous 11:36 am  

Nendelea tu Simon...Asante kwa hayo

Simon Kitururu 8:35 pm  

@Rasta:Mimi pia.
@Serina:-)

Anonymous 1:28 am  

Mvivu kula??loool ..nami basi huwa m-active kwa kula.
Forgive my Kiswahili lol.. naipenda blogu yako, kweli nitapitia tena :) .

Rundugai 7:42 am  

Mbona unaonekana na mwili mbubwa.Uvivu huo umeutoa wapi?

Anonymous 9:05 am  

Vipi Simon, Mi upitia lakini DUH kiswahili changu sio sanifu vile..... basi nikaogopa kuwacha comment!

Ati wewe mvivu wa kula na vile naona wewe ni kibonge...? LOL

Simon Kitururu 9:28 am  

@Betty:Karibu tena!Mimi mvivu kula, lakini bado nakula:-)
@Chediel:Uvivu huu hatasijui umetokea wapi Mzee!
@Inexcess:Usisite kuacha comment, karibu sana. Na mimi napitia kwako.Story ya Rihanna imeniacha hoi Lol.

Ukibonge ni beer hizo zimeniponza LOl

Egidio Ndabagoye 3:17 pm  

Kazi kweli kweli hii.Ngoja niangalie tena.

Anonymous 10:10 pm  

hakuna ubaya ukiendelea

Simon Kitururu 11:09 pm  

@Mwafrika:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP