Mbwa wee , Sura kama kinyesi!
Matusi ni kitu cha ajabu. Mara nyingi tusi likuuamalo, halina maana. Ukifikiria kidogo unaweza kujicheka kwa kuchukia.
Kabla sija sema...
Mpate Maxwell Vidima..
- Pamoja na nia yako nzuri , ukifeli kufanikisha ambayo, ambacho, jamiii inayahusudu , kuyategemea kutoka kwako,......USISHANGAE KULAUMIWA hata kama HAYA KUHUSU!
DUH!Usimaindi sana , niko
mawazoni tu!
Ngojea niache baazi ya picha za wiki hii..
Lakini kabla ya picha ....!Tulia kidogo na
Kassav...
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Msalimie David....
@Isae:Hata kabla sijasema naamini salam zako zimefika.
Duh!Kumbe huwa unanipitia huku chobisi!:-)
Isae, ninakuja Dublin mwisho wa mwezi huu. Nitakutafuta.
Post a Comment