Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MBWA WEE PUMBAFU! MENO KAMA NGIRI!

>> Wednesday, August 30, 2006

Mbwa wee pumbafu!Sura kama nyau! Mama yako fisi!Huwa saa nyingine nacheka mwenyewe nikisikia matusi watu wanayotukanana. Cha ajabu ni kwamba mtu anakasikirika akitukanwa hivyo. Wakati kama wewe ni mtu haiwezekani ukawa mbwa ,fisi , nguruwe wala kitu chochote kile kingine.Usishangae nikicheka ukinitukana!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 9:08 pm  

"Mbwa mkubwa wee!" huyo ni mama anamtukana na mtoto wake.
Mimi naopna hata ukimtuka na mtu sio kwamba anfanana na hichoi kitu ulichi mtusi.Hii falsafa ilitokea wapi wengine wanatukana ili kuondoa hasira zao lakini akisha litoa tusi mwenyewe anajuta.

Simon Kitururu 12:48 pm  

Lakini inasemekana kuwa wataalamu wemehakiki kuwa ukimtukana mtoto kuwa ni mjinga mara kwa mara hatima yake unamsababisha akue akiwa hajiamini kiakili.Inasikitisha kuwa matusi yasiyo na mpango yanafikia kuathiri watu kiuhakika

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP